Zawadi ni ya kuuwawa ama kutekwa!View attachment 3539224
Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao.
Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29
Ukiicheck Movie moja inaitwa Lost Bullet ya 2020 utaelewa nini kinachota kufanyika hapo yaan alieua anataka kukimbia kwamba yeye hajaua halafu ushahidi kaenda kaufukia chini, wafukunyuku wakaenda wakaufukua ushahidi na kumuonyesha kua wewe umeua na ushahidi huu hapa, akabakia ameumbuka tu haelewi nini cha kufanyaunaweza kuiita vyovyote ila TUME SIYO HURU
Aliyeunda tume ni muhusika wa mauaji (samia suluhu) Hassan
Hadidu zarejea amezitengeneza yeye
anachunguza ili kubaini nini asichokijua?
Wamejua watu hawana imani na hiyo tume, sasa wanaanza kutoa motisha ili kuipa uhalali hiyo tume.View attachment 3539224
Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao.
Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29
Wana taarifa yao ya kupika, hivyo wanataka watu wajitokeze kwa wingi ili kutakatisha taarifa yao.CCM wana interest gani mpaka watoe zawadi? Kwa nini wanaingilia utendaji wa tume? Inafikirisha
Hii watakuwa wanamsingizia.View attachment 3539224
Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao.
Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29