Vijana wanawalalamikia wazazi! Wazazi wanawalalamikia watoto! Wananchi dhidi ya serikali na viongozi! Mbaya zaidi wadangaji kulalamika hakuna wanaume wa kuoa siku hizi! Waafrika kulalamikia wazungu waliowaletea dini!
Hayo yooote tisa, mbaya ni wale wanaoingia kwenye mahusiano wakidhani kuna...
Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
askari
habari
hanang
iron
kufa
kutoka
kutokana
lady
maelfu
mafuriko
magogo
maria salungi
misaada
miti
mlima
mto
paa
picha
saikolojia
silaha
tanzania
tatizo
tukio
ushauri
vyombo
vyombo vya habari
watanzania
Mamlaka nchini Burkina Faso inapaswa kurejesha agizo la kuwajumuisha kijeshi waandishi wa habari Issaka Lingani na Yacouba Ladji Bama na kuhakikisha usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara, Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari ilisema Jumatano...
Nahisi sheria hizo ndio chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya talaka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao
Ndoa sio kifungo kwenye uislamu
Ni kama vile walifahamu mapema kuwa wanawake...
Mara nyingi nimewasikia viongozi mba;i mbali mfano Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi Watendaji na wengine wengi wakisema tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutoa mabilioni kadhaa katika mradi fulani. Naomba mnielemishe.
Je, ni Mhe. Rais ndiye anayetoa fedha za miradi yote kutoka...
Serikali inatarajiakupata dola za Marekani bilioni 20 sawa na takribani Shilingi trilioni 50 kutokana na biashara ya hewa ya ukaa.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amesema yapo mazungumzo yanaendelea kati ya serikali na kampuni 22 kwa ajit ya biashara hiyo. Alisema hayo Dar es...
Nakumbuka kuangalia clip moja ya Mwalimu Nyerere akisema "kama ilivyo kwa UKRISTO, dunia haijawahi kuufuata UJAMAA kwa asilimia 100" kwa maana hiyo ni ngumu au siyo sahihi kuhukumu kama mitazamo na mifumo hiyo ni sahihi au siyo wakati haijawahi kufuatwa kikamilifu.
Simba ya kipindi cha Juma...
Mamlaka ya Mapato (KRA) imesema mapato ya Mafuta kwa kipindi cha kati ya Julai na Septemba 2023 yalikuwa 84.8.% ambayo ni chini ya Makadirio huku sababu ikitokana na mauzo ya Nishati hiyo kushuka kutokana na Watu wengi kupunguza matumizi ya Vyombo vya Moto.
Kamishna Mkuu wa KRA, Humphrey...
Ilikua zikutane leo Simba U20 na Yanga U20 Ila Simba wamegoma kuingia uwanjani kutokana na Yanga kutumia wachezaji ambao hawakusajiliwa.
Nisikuchoshe kiufupi Yanga hawana mchezaji waliemsajili kutumikia u20 kwa msimu huu.
Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni.
Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika...
Habari zenu wana jf...leo nmependa kuja kitofauti kidogo, katika harakati za msoto hapa na pale nmeona wengi tunapitia changamoto nyingi mno lakini ukweli ni kwamba msaada wako ni WEWE MWENYEWE.
Katika safari ya maisha, tunakutana na changamoto za kila aina. Zipo nyakati tunazungukwa na giza...
Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi.
Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera.
Kimsingi baada ya vita ile...
Kwa muongo wa pili mfululizo, idadi ya Waafrika wanaolazimika kuyahama makazi yao imeshuhudiwa kuongezeka, sasa ikiwa na jumla ya zaidi ya watu milioni 40. Ongezeko hili la hivi karibuni linajumuisha watu wengine 3.2 milioni waliolazimika kuhama kutokana na migogoro katika kipindi cha mwaka...
Habari wakuu,
Hii ripoti ilisababisha mvutano mkubwa na mpaka wanaojitambua kutaka kulazimisha bunge kuijadili kabla ya muda wake.
Hivi wale walichezea pesa zetu, kodi zetu kwa maslahi yao na familia zao wamechukuliwa hatua gani? Au ni siri na hatupaswi kufahamu?
Tuliambiwa tusubiri bunge la...
Uongozi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) umechelewesha kutoa matokea ya supplementary kwa wanafunzi wa level ya Diploma na pia kutuma matokeo hayo NACTE kwa ajili ya utambuzi, Hivyo kusababisha zaidi ya wanafunzi 200 kushindwa kufanya maombi ya elimu (Degree) kwa mwaka wa masomo 2023...
Barabara ya Tegeta Kibaoni mpaka Mbezi kupitia Madale Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kutokea mtukio ya ajali, kuna baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo.
Tatizo zaidi lipo hasa kipande cha kuanzia Wazo Kontena hadi Flamingo, magari yanakimbia kwa kasi sana, tunaomba...
Kina cha maji cha Bwawa la Mtera, Mkoani Iringa kimepungua na hivyo kupunguza Uzalishaji wa umeme kutoka megawati 80 mpaka 72.
Hayo yamebainika leo Septemba 9, 2023 baada ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kutembelea bwawa hilo ili kuona uzalishaji wa umeme.
Mwenyekiti wa Kamati...
Aisee hamna watu wenye visirani, majungu, chuki na unafiki kama wabongo aisee nimekoma wakuu sio kwa msoto huu ambao wabongi wamenifanyia yaani sio poa kabisa yaani bila hawa white wabongo ambao nimetoka nao nchi moja wangenifanyia ilikuwa too much.
Yaani kutokana na blessing na mafanikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.