Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi kukuta!
Mi binafsi sijawahi maana nina ego kubwa 🤣.
Hongereni na poleni kwa pilika wakuu.
Kwanza ukaribu ninaouzungumzia hapa ni kama vile, Shemeji, jirani, mpangaji mwenza, bosi, mfanya kazi, mangi unae muungisha, mteja anaekuungisha, boda boda nk.
Kuna hii tabia ya wanawake kututangaza kwa watu, kukusema vibaya eti kwa sababu tu umemtongoza...
...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"......
Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini.
Nyota huyo wa Mziki wa Kizazi kipya amesema pamoja na kwamba Wananwake wa Nje wanamuumiza kihisia bado anaona ni nafuu...
Ubingwa wa kumtongoza mwanamke,ni sanaa nzuri mno,na kila mwanaume anapomtongoza mwanamke na mpaka anafanikiwa kunyanduana nae,anajisikua fakhari kubwa sana,vipi wanaumevwenzangu nyie mna maoni gani?
Dada: money penny nisaidie
Money penny: ndio boss
Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa
Money penny: ndio boss
Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15...
Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo?
Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za...
Sijui hii hali itakoma lini inanitia hasira sana sijui kitu gani kinanifanya kuwa hivi aisee sasa sijui kwanini naogopa ogopa huu si ni ujinga? Wakuu naombeni msaada jinsi ya kutongoza aisee nakerekwa na kuchukia aiseee
Unakuta kuna demu unamuelewa ila unashindwa kumface kwa sababu ya uoga na...
1. Sanaa ya kutongoza ni ngoma maridadi ya mvuto, haiba, na uhusiano wa kihisia.
2. Inapita zaidi ya mvuto wa kimwili, kuingia katika saikolojia ya tamaa na mwingiliano wa kibinadamu.
3. Kutongoza kwa mafanikio kunahusisha kuelewa mahitaji, matakwa, na udhaifu wa wengine.
4. Kujiamini ni...
Usijaribu kudate na Mwanamke asiye na hisia na wewe.
Fanya udadisi... ndipo mtongoze kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe.
Examples of Questions;
Unamwanaume, Yes or no
If yes, vip unalidhika nae anakufikisha kunako vizuri, is he romantic?
if No, Vipi ukiwa na mimi.. ? Look at me, am...
Yaani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi.
Mwishowe anafunguka kuwa alikuwa nakuelewa sana alikua akikuona hajiwezi.
Sema ili u maintain u handsome, uwe na hela la sivyo utapauka kweli kweli,
Pesa kidogo huku...
Kama Una tatizo la kutafuta vitu au watu n.k fahamu tu kuwa hauna power tena unachohitaji nikuweka power vizuri.
Kila kitu kinavutwa iwe pesa, mpenzi, good life n.k
You don't need to chase anything in this entity.
Ni kukaa chini na kujua what you need in ur life na kuanza kuchezesha mifumo...
Kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo akatumia gharaman ndogo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja;
Wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka 5 wkitumia gharama kubwa zaidi bila mafanikio wanapigwa kalenda. Unakuta mtu...
Kijana wa kiume amesimama na binti wa kike mahali flani, presha ya kijana iko juu, halafu anabadili tu jinsi ya kusimama, hatulii, mara mikono mfukoni, mara akunje nne ya kusimama sijui anaminya nini, halafu hapo chini pamevimba utadhani ana busha dah.
Yaani, mpaka inajulikana kabisa huyu...
Habari Wadau,
Hii mila ya wanaume kuwatongoza wamawake imepitwa na wakati.
Yaani unakuta dada anakufuata bra bra kibao, mara simu yangu inasumbua narekebishie, mara nimekufananisha mara hivi mara vile hadi mwanaume ajiongeze mmmh!
We ukiona kaka umempenda mfuate mueleze ukweli muombe namba...
Dah! Sio kwamba tunashindwa la hasha! Ni kwa vile tu uchumi umeshuka, hasahasa ninyi mnaojieka ki baby Zuu, inafikia hatua tunajiuliza kuwa endapo tutawarushia nyavu, tutakuwa tayari kukabiliana na majibu machafu mtakayotupatia? Vipi kuhusu gharama za kuwalipa?
Inapotokea chance ya ninyi...
Siku hizi teknolojia imekua kiasi kwamba sio lazima umtongoze mwanamke barabarani sababu kuna mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo ina wanawake wazuri wengi tu wenye maumbo na rangi tofautitofauti.
Ingawa wapo wanaofanikiwa kwa kuanzisha mahusiano na yanadumu ila wengi huanzisha mahusiano...
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.
Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa).
Sasa kwa ninyi mliofanya...
Habari wanajamvi!
Katika pitapita zangu nimekutana na kitabu cha daktari mmoja anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA.
Sasa wakati nafuatilia kutaka kumjua zaidi huyu daktari kuna jamaa zangu wako Kenya huko wakaniambia huyu daktari ni mkenya, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.