kutongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Noizee maker

    Nilipokosa cha kufanya kwa simu yangu nikaamua kutongoza customer care

    Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care 😂 Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume nakata mara paap mtoto akapokea, hello naitwa mary unaitwa nani na unapiga simu kutoka wapi? Nikamjibu...
  2. Poker

    Leo zamu ya wadada wa JamiiForums kutongoza wakaka wa humu! Tuone vocal zenu

    Hebu wadada wa humu tutongozeni ili tupime misimamo yetu. Shusheni vocal hizo nasisi tuanze kutafuna majani na kung'ata kucha! 🔥
  3. KAFA.cOm

    Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    ENZI ZETU Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati. Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako...
  4. Balqior

    Siku hizi sina hamu ya kutongoza wanawake kabisa, kuna wanaume humu ambao washapitia hii stage?

    Mimi ni kijana in my 20's miaka michache iliopita nilikuwa tongoza tongoza na nilikuwa nabadilisha sketi, nkaacha, badae nikawa na tabia ya kununua makahaba wanaojiuza barabarani, baada ya muda nilipima hivi Mara mbili, nikajikuta niko salama, Nilijitafakari na sikuona faida wala tuzo ya hayo...
  5. mpasta

    Mbinu ya kivita ninayoitumia kujizuia kutongoza wasichana barabarani

    Wanajamvi wenzangu mie hapa Jijini DSM nilihamishiwa kikazi nikitokea mkoani. Siku za mwanzoni nilikuwa napata shida barabarani. Kila msichana ninayekutana nae namuona mrembo, haswa nikifika maeneo ya Posta Mpya kule. Basi Asubuhi kabla sijatoka Home nikawa ninatumia dakika takribani 5 za...
  6. K

    Ni mbinu gani za kutongoza msichana maarufu?

    Kuna dada mmoja maruufu nampenda saana na nipo tayari kumuoa pesa ninayo. Ila sijui ni njia zipi nitumie kumpata huyu mrembo Nikiweka pesa mbele mda so mrefu nitafilisika. Nikitongoza kwa njia hizi zetu za kawaida bila kujionyesha muda so mrefu nitapigwa pending ya Atari tusaidiane mbinu. Mtoto...
  7. Dormant Account

    Msaada, Mpenzi wangu kanitumia meseji ambazo nilikuwa namtongoza mtu mwingine

    Mitaa ya saa 2 hivi usiku niko nje mitaa ya home Kuna grocery tunapiga mbili tatu na washikaji zikaibuka pisi mbili zimekaa zimesimama pemben ya barabara kama dakika 10 hv bado wamesimama nikaona ngoja niende nikasogea piga story wakasema wanaeleka club fulan nikasema ngoja niwapeleke nikawasha...
  8. Melki Wamatukio

    Wivu wake umefanya anione mbaya

    Kama mnavyofahamu nyumba zetu za kupanga, unakuta nyumba ina vyumba kadhaa ndani vikiwa na milango inayotazama korido! Chumba changu kipo opposite na chumba cha mwanamama ambaye anaishi na mwanadada aliyetoka kijijini! Hata kiswahili chake hakijakomaa kivile! Kama kawaida yetu mabaharia...
  9. Chizi Maarifa

    Nyie wenzangu mnawapataje au mnawapata wapi?

    Sijajua sababu ni nini. maana leo nimewaza kuwa pengine nina nyota ya Buzi. Kila nikifahamiana na msichana nikatamani tuanze mahusiano hazipiti siku mbili utasikia anaomba pesa ya kodi. Simu imeharibika au ada ya chuo. tatizo langu nini lakini? Maana inanifanya nihisi pengine sipendwi. Why kuna...
  10. BigTall

    Mwanza: Polisi wawaambia Bodaboda "acheni kudanganya wanafunzi kwa chipsi"

    Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Pikipiki Kanda ya Mjini Kati, Ramadhan Jacobo amewaasa waendesha pikipiki wenzake kujiepusha na tabia ya kutongoza pamoja na kujihusisha na mapenzi na wateja wao. “Asilimia tisini ya abiria tunaowabeba na wanaotulipa fedha ni wadada, na nyie ni mashahidi...
  11. Mia saba

    Nini hutosahau katika kutongoza

    Imekuwa kawaida ya kumpata umtakaye kupitia kumshawishi hasa hasa kwa maneno yaani kutongoza Nina Visa viwili vilivyonifanya comrade wa kurusha nyavu😂 Part I Kuna katoto ka kike hako ka get Kali kwao kalipewa ulinzi Zaid ya Tanzanite ukikaona hutotamani masaa yasonge kwa uzuri huo hivyo juu...
  12. vadrick

    Kuna dada nampenda ila hatoi majibu ya kueleweka

    Kuna kadada furani kana soma Saut hapa mwanza nakapenda sana nanimeshawahi kukambia ila akatoi majibu zaid ya kukaa kimya basi. Tumeishi maisha hayo ila kakikukumbuka kana kutexts mnasalimiana vizuri ila ukikakumbusha tu kana kaa kimya ata wiki ata mwez mzima Sasa jumapili kalinisalimia...
  13. S

    Ili kukimbizana na umri kuanzia wiki ijayo naanza kutongoza wanaume

    Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi. Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa...
  14. Mr Kactus

    Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

    Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji. Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya...
  15. KJ07

    Uliwezaje kutongoza kwa mara ya kwanza?

    Habari za wakati huu Nimeona nilete mada muhimu kama hii mezani kwani kutongoza ni point muhimu sana iwe kwa mwanaume na hata kwa mwanamke japo ni nadra kusikia mwanamke katongoza na wanaume wengi tunawachukulia wanawake wanaotutongoza kama ni wameshindikana ila ukweli hauko hivo kwani mapenzi...
  16. E

    Nilimtongoza akanikataa akaanzisha mahusiano na rafiki yangu, wameachana anadai anahitaji tuwe wapenzi

    Kuna mdada mmoja nilikuwa nampenda sana hapa mtaani kwetu, one day niliamua kumchana live ila alinikataa! Basi nikaamua kupita hiv!. Rafiki yangu akamtongoza akakubaliwa, akala, akanilingishia, wakawa wapenzi, cha ajabu walimaliza mwezi mzima wakakorofishana, rafiki yangu akapanga dili na...
  17. Equation x

    Nilivyo-date na jirani yangu bila kujua

    Miezi kazaa imepita, nilikuwa Dar es salaam kwa mishe mishe; mida ya saa nne usiku baada ya kupata chakula na kinywaji nikawa 'bored' na mazingira ya hotel, nikaona sitendei haki chumba kile kuwa peke yangu, ndipo nilipochukua 'laptop' yangu nakuingia mtandao fulani wa 'dating', na kuanza...
  18. W

    Please Wana jukwaa, kwenye tasnia ya kutongoza, nashauri turudishe mifumo yetu ya zamani!

    Nawasalimu Asalam aleykum! Kwakweli inasikitisha sana tasnia ya kutongoza imeharibiwa vibaya mno! Vijana wa Sasa utongozaji wao ni wa mwendokasi, yaani ni blah blah tu Maneno machache, "I love you" na mwingine anajibu " I love you too" kazi imekwisha kesho wanaingia mzigoni kunyanduana Tena...
  19. Tyrone Kaijage

    Wasugua viganja wanamaanishaga nini

    Habari wanafamilia, Hii nimeikuta sehemu kwenye page fulani ya Wa cameroun wakijadili kwa kuwa nimeiona pia hapa kwetu hivi hii kitu huwa inaashiria nini au maana yake ni nini?
  20. alcacer

    Dada wa kazi ananitega

    Habari za muda huu, Nakuja moja Kwa Moja kwenye mada, home hapa kuna beki3 ana kama miezi 3 hivi tangu aje naona anaanza kuniletea mazoea flan hivi dah, najua bimkubwa lazima atajua nafanyaje wakuu au nivunge tu!
Back
Top Bottom