Mwenzenu na mwaka wa nne sasa hivi. Kila msichana ninayemfuata mimi hajawahi kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau sana halafu wasichana ninaowafuata ni wakawaida mno. Mwanzoni niliona kawaida ila sasa hivi naona kama ni tatizo.
Naomba ushauri wenu.
Woooozaaa inakuaje wadau habari zinakwendaje...
Kama ilivyo ada nimekuja na mada mpya kwa wanaume yani kwamba uliichukuliaje ile first rejection kipindi unajifunza kumendea tunda la kati (kutongoza )
Okay kwa upande wangu nakumbuka ilikua 2009 hivi nilikuaga ndo nimeanza kubalehe mihemko ya...
Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii...
Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia kukimbiza usingizi wangu.
Nasikia mmoja anamwambia mwenzake; “basi wakati namalizia kuosha vyombo...
Dunia imejawa na wanawake wazuri siku izi wanajiita pisi kali,
bwana weeee mimi nimepoteza uwezo wakutongoza japo izo pisi kali zipo nyingi kama Mchele wa kyela mwezi wa 6 si unajua lazima ushuke bei kwa buku kapu linajaaa ,
Na kwambia ukweli wasingekuwapo dadapoa ningepewa umakamu mwenyekiti...
Kila mtu ana Zamani yake.
Zamani yenye kufarahisha na Kuleta kumbukumbu ya kujicheka mwenyewe samytimez.
Miaka yetu tunabalehe, vijisimu vya goroka ndiyo vilikuwa vinachangamka, wale watoto wahuni tulikuwa tunavitumia kwa siri huku, wazazi wakipinga swala la mwanafunzi kumiliki simu.
Mtu...
Ili uweze kumpata kirahisi mwanamke unayemtaka unatakiwa kujifunza mbinu mpya za kutongoza. Wengi wanashindwa kuwapata watoto wanaowapenda kwa sababu ya kutumia maneno ya kawaida au ambayo yamepitwa na wakati.
Hivyo ili uweze kumpata mwanamke unayempenda kwa dhati basi unatakiwa kujifunza...
Hahahahaaa
Yaani hizi type za hawa wanawake, wewe usijiangaishe kutongoza maana ni kama utakuwa unapoteza nguvu na maneno yako. Cha kufanya, endapo kama umekutana naye kwenye kona, wewe cha kufanya ni kushika mkono, mnapitia Condom kwa Mangi, huyoo mnatoboa mpaka geto.
Ifuatayo ni list ya...
Usimtumie meseji za userious sanaa
Kama vile, mambo?"habri ya usiku"? Umelala??? Umekula?? Una mpenzi?? Unasoma?? Unafanya kazi? Unaishi kwenu ??aumepanga??? wee mtoto wangapi?? Miaka yako??? N.k
Hizi manzi huwa hazipendi maswali maswali ,kiuhalisia binadam hapendi maswali.
Nakupa mbinu...
Kila nikikumbuka tukio hili moyo wangu huwa unabubujikwa na machozi mithili ya damu ya kuku anayejinjwa, sijui hata ni kwanini ila asikuambie mtu, umasikini mbaya sana!
Nakumbuka miaka ya 1990s, baba yangu alipata bahati ya scholarship Marekani, chuo kimoja kinaitwa Yale. Hivyo ilimlazimu...
Nimeshindwa kuvumilia akii tena. Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu,
Leo bwana nimejitokea zangu huko duniani kwenye mihangaiko, nikafika zangu kituoni, nikasubiri daladala ya ninakoelekea, ikaja nikapanda,
Sasa tumepanda zetu kama watu kadhaa hivii, sina zangu hili wala lile, kulikuwa...
Habari zenu watu?
Tukiachana na yule niliekuta kanisevu "KIBERENGE" nikapiga chini,nimeamua kusonga mbele japo bado nawasiliana nae kiaina ila hakomi kuacha kuniita hivyo akinitext tu utaona text "we kibe haujambo" inaniuma sana.. tuachane na hilo
Kuna pisi moja kali niliiandikia barua...
Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI!
Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.