Nimeshindwa kuvumilia akii tena. Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu,
Leo bwana nimejitokea zangu huko duniani kwenye mihangaiko, nikafika zangu kituoni, nikasubiri daladala ya ninakoelekea, ikaja nikapanda,
Sasa tumepanda zetu kama watu kadhaa hivii, sina zangu hili wala lile, kulikuwa...