Huyu mtumishi namkubali anakula mshahara wa halali
Ametukumbusha kuhusu matepeli
Kwa siku tutapokea SMS hazipungui 10 za SITAPELIKI
Sasa😅 imetosha kaka, ujumbe umeeleweka
Na hakika SITAPELIKi tena
Naomba wenye kujua wanijuze hili, kuna bank furani ilituma pesa kimakosa February 1 katika account yangu... na baada ya kuchukuwa statement ikaonekana na mshahara uliolipwa kutoka kaasisi furani. (Mimi sio muajiriwa wa taasisi yoyote).
Baada ya siku tatu wakanipigia simu kupitia mtu wa bank...
Habari ba-Ndugu? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, nawatahadhalisha wale wenye mpango wa kutumia Airtelmoney kutuma fedha nje ya nchi kufikiri kutumia njia nyingine badala ya hii.
Nilituma fedha SA tarehe 20 Jan mpaka ninavyoandika hapa fedha hiyo haijamfikia mlengwa,
Nimewapigia Airtel jibu...
Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au...
Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini sijui" hujakaa sawa mara "jiunge na chama chetu" mara " mimi mwenye nyumba wako" na nyingine nyingi...
Tangu jana usiku, nikitaka kutuma pesa toka Airtel money kwenye mitandao mingine ya simu au bank napata ujumbe wa ‘Unable to fetch, bad details’
Je, kuna taarifa yoyote rasmi juu ya tatizo hili?
@airteltanzania
Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
Hello ndugu, ninahitaji kutuma mzigo marekani ni kilo 5 TU za karafuu je ni kampuni gani ya ndege au yoyote ya usafirishaji naweza kuitumia kutuma mzigo wangu kwa haraka na unafuu? Wenye uzoefu naombeni msaada wenu na pia naomba kujua gharama exactly za kutuma huo mzigo.
Msanii wa kizazi kipya wa bongofleva alikiba maarufu kama kingkiba wakati akifanya interview na cloudsfm amefunguka kuwa kuna watu wanaweka robot na wanajidanganya kuwa na views wengi hii imempelekea kuachia audio bila kuwa na video
Gavana Abdullswamad Sharrif Nassir wa Mombasa anatuhumiwa kila kona kwa kutuma wahuni kumlawati mwanablogu mkosoaji wake Bruce John.
Video ya mwanablogu huyo akifanyiwa madhila hayo imesembaa huku mwenyewe akikiri kutekwa, kuteswa na kulawaitiwa na vijana wawili.
Hali tete , familia watendewe haki ni zaidi ya mwaka sasa , vyombo vya usalama vifanye juhudi za ziada .
https://youtu.be/6onwxmeYfDE?si=qYODv9dKxBE-9040
Habari za mchana jamii,
Nina tatizo la kutuma kahawa ya Kilimanjaro kwa rafiki yangu aliye Marekani. Nimejaribu kutumia huduma za posta lakini wameambia ni lazima niwe na leseni hata kwa kiasi kidogo kama 400g ya kahawa. Hali hii ya urasimu inakera sana na inafanya iwe ngumu kwa sisi Watanzania...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo.
Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
Naomba msaada simu yangu aquos sense 5g natumia laini ya voda NI week sasa nimtumia mtu SMS may be Habari! Kule nakotuma SMS zinaenda zinaenda zaidi ya 5 Yani inakuwa kama hivi
Habari
Habari
Habari
Habari
Naona NI Kero nimejaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wanasema hawaoni tatizo kwenye...
Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic.
Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa...
Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Kenya imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na TikTok, badala ya kuifungia nchini humo
Waziri wa Habari na Mawasiliano John...
Habari,
Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.