kutuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Narumu kwetu

    Kumekucha: Marekani yakiri kutuma makombora maalumu ya kutungua rada Ukraine

    Makombora haya ni hususi kabisa kwa ajili ya kusambaratisha rada yoyote ilipo umbali wa km150, haya makombora yanafuata frequency za rada, hata kama rada hiyo imezimwa kuna ,technology imedizainiwa kuditect popote rada ilipo na kulenga kwa usahihi. Hii itawapa nafasi zaid Ukraine kusonga mbele...
  2. Lady Whistledown

    DRC Yaishutumu Rwanda kutuma vikosi vyake nchini humo

    Vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) vimeishutumu Rwanda kwa kutuma vikosi maalum kwa kujificha katika ardhi ya nchi hiyo, huku mzozo unaoendelea baina ya nchi hizo ukichochea ghasia mashariki mwa nchi hiyo. Jeshi la DRC lilidai kuwa wanajeshi 500 waliovalia sare za...
  3. JanguKamaJangu

    Nape: Kampuni za simu acheni kutuma ujumbe ambao mteja hajaomba, hii tabia ikome

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametaka makampuni ya mawasiliano nchini kuacha mara moja tabia ya kuendelea kutuma ujumbe ambao wateja hawajaomba na kueleza kuwa kwa kufanya hivyo ni kuwapotezea muda wateja wao. Nape ametoa agizo hilo Mei 31, 2022 wakati...
  4. mweatu

    Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali. Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa. Najaribu kufikiria kutuma...
  5. Jamii Opportunities

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

  6. MK254

    Uganda kutuma wanajeshi Msumbiji, maana kero za ugaidi lazima zishughulkiwe kote

    Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa, bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia...
  7. MK254

    UN na AU waunga mkono jitihada za EAC kutuma jeshi la pamoja kwenda kuiweka sawa DRC

    Muda umefika kwa hao waasi wa DRC waelewe hawataishi kwa mazoea tena baada ya DRC kuingia EAC, itabidi wakubali mazungumzo na makubaliano ya amani au wanyooshwe. The African Union and the United Nations have backed an eastern Africa initiative to bring peace to the Democratic Republic of Congo...
  8. D

    Naomba kufahamu utaratibu wa kutuma maombi ya ualimu (Nacte)

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  9. Harrykany

    Msaada wa kutuma pesa toka Kenya kwenda Tanzania (Safaricom - M-Pesa)

    Naomba kupewa maeleza step by step namna ya kutuma pesa, toka Kenya kwenda Tz kwa njia ya M-Pesa. Asanteni
  10. Extrovert

    Utaratibu wa kupata nyaraka za TBS ili kutuma mzigo nje ya nchi upoje?

    Nina vitu nataka nitume kwenda mamtoni kwa ndugu yangu mmoja ila sasa nimeshangazwa na story za yule mtu wa posta kuniambia natakiwa niwe na document za TBS kwa baadhi ya vitu. Kwa mtu mzoefu je, huu utaratibu upogo kweli au ndio mtumishi anataka kula kwa urefu wa kamba yake kupitia mimi...
  11. LIKUD

    Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

    Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto. IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto. ( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. ) Kabla sija elezea mbinu...
  12. Kasomi

    WhatsApp Unafanya Majaribio Ya Mfumo Wa Kutuma Na Kupokea Crypto

    Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya Crypto ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin ya Pax Dollars (USDP) ambayo ni crypto yenye thamani sawa na Dola 1. WhatsApp imeanza majaribio ya kuunganisha Wallet ya Novi na WhatsApp hivyo utaweza kutuma na kupokea pesa...
  13. Ibrahim daud

    Msaada wa kutuma mzigo Rwanda

    Habari ya asubuhi? Naomba kupewa namna mbali mbali niweze kufikisha mzigo (simu) rwanda. Leo hii Ahsante
  14. sky soldier

    Anuani (P.O. Box) za kutuma barua TRA & TAKUKURU hazipo, Je anuani ipi itumike

    Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya shirika unaloomba ajira, je paandikwa adress ipi??
  15. Amaizing Mimi

    Katuma meseji kwangu badala ya kutuma kwa X wake

    Habari zenu wakuu. Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao. Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake. Kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na...
  16. Red Giant

    Mpesa inakataa kutuma pesa tigo pesa, TCRA waangalieni hawa voda.

    Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi. Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani. Kama wana bifu, basi linatukwamisha...
  17. Suley2019

    Waziri Mwigulu: Watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha

    Serikali ya Tanzania imesema watu milioni 30 wanaofanya miamala ya Sh1 hadi Sh999 kwa siku hawakukatwa tozo ya kutuma na kutoa fedha. Hayo yamesemwa leo Septemba mosi, 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba katika mkutano wake na wanahabari akibainisha kuwa lengo ni...
  18. M

    Vipi naweza kuagiza mzigo kupitia kampuni ya Alibaba mzigo ukafika salama?

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kuagiza machine ya incubator hivyo kuna duka wanahitaji kuniuzia hiyo machine lipo China kupitia alibaba ebu nipeni uzoefu mliowahi kuagiza MZIGO nje ya nchi kupitia alibaba
  19. Superbug

    Makato ya kutuma Shilingi milioni moja ni nauli ya kutoka Morogoro Mjini mpaka Mwanza

    Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
  20. F

    Marekani kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo

    Utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani unajiandaa kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo wa ADF na ISIS waliopo mashariki. Balozi wa Marekani Congo DRC amesema kwa sasa vita vya Congo vitafikia ukingoni. Hatua hiyo ya Marekani unakuja wiki moja baada ya Kenya nayo...
Back
Top Bottom