kutuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Sikujua tumefikia mpaka kazi ya Uchawa unatakiwa Kutuma maombi ya barua na CV.

    Kwema Waungwana! Leo nilikuwa kwenye interview kama mnavyojua kijana ni taifa la leo, na kijana ni nguvu kazi ya nchi. Nami nikasema nisibweteke mwishowe nisijeitwa majina mabaya. Acha nitafute kazi hata zile nilizoona hazihitaji Vyeti. Maana hizo za Vyeti kiukweli Ngoma ngumu, nimeomba mpaka...
  2. G

    Kutuma CV vyuoni

    Habari wana JF, Mimi napenda kuuliza kwa mfano mtu una sifa za kuwa Assistant lecturer kwa maana ya GPA ya at least 3.8 undergraduate na 4.0 masters ukaamua kutuma CV Yako kwenye Moja ya chuo kikuu kabla ya nafasi hazijatangazwa. Je? Chuo kinaweza kukupa consideration ya kukuita na kukufanyia...
  3. W

    TAMISEMI ongezeni muda wa kutuma maombi ya ualimu na afya

    Ndugu zangu ningeomba tutumie huu Uzi kutoa maoni Kwa kuwaomba TAMISEMI kuongeza Muda wa watanzania kutuma maombi ya Kazi za ualim na Afya. Kwanza muda uliotolewa no siku ambazo sio Chini ya 20 na yawezekana wengi wasiombe na kukosa Fursa ya Kuajiriwa(Kwa wale watoto wa maskini) ambao hawana...
  4. D

    Msaada tafadhali nikijaribu kutuma maombi Tamisemi taarifa za chuo zinagoma

    zina load muda mrefu then UNDEFINED.. see attachment
  5. benwise

    Nifanyeje ili niweze kutuma maombi ya ajira Serikalini?

    Salam wakuu.kuna ndugu yangu amehitimu chuo cha ualimu kwa level ya shule za msingi miaka mitatu iliyopita na sasa kwa zaidi ya miaka miwili anajitolea kwenye shule fulani huo mkoani. Changamoto iliyopo tangu ajira zimetangazwa mara ya kwanza na hata sasa ameshindwa kuomba kutokana na...
  6. Sauti ya amani

    Namna ya kutuma maombi ya ajira TAMISEMI kwa waombaji wapya na wale waliowahi kuomba

    Wakuu napenda kuomba msaaada namna ya kutuma haya maombi ya ajira mpya ,je anwani za barua ni zipi?na kwa walioomba awali wanatumia mfumo upi asnth
  7. Mganguzi

    Sisi hatukupaswa kutoa msaada wa fedha Uturuki, tulitakiwa kutuma kikosi cha uokoaji

    Msaada wetu kwa Uturuki umechelewa sana, tunaanza kucheza wakati mziki umeisha! Sisi hatutakiwi kutoa msaada wa kifedha kwa wale jamaa, bali tulitakiwa kupeleka kikosi cha uokoaji kwenda kusaidia uokozi kwenye majengo yaliyoporomoka na kukalia watu. Tulikuwa wapi kutoa msaada wa aina hii...
  8. S

    DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

    Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa Wilaya Mstaafu amesema nanukuu "Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi...
  9. L

    Kutuma salamu za pongezi kwa mkutano wa AU kwa miaka sita mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwa Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa sita mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo, na pia ni mara yake ya kwanza kutuma baada ya kuchaguliwa tena kuwa katibu mkuu wa Kamati Kuu ya...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Nafasi nyingi za ajira zilizotangazwa leo ni wewe tu kutuma maombi yako

    Wanahitajika Laboratory Managers, Laboratory Supervisors, Chemists, Laboratory Technicians na Laboratory Assistants kwenye Mgodi wa Dhahabu. Andaa CV yako, barua ya maombi na vyeti vyako kwaajili ya kutuma maombi: Mengineyo Bright and Genius Editors tunawapenda Tumewaletea huduma ya...
  11. Page 94

    Muda wa kusubiri kabla ya kutuma ujumbe mwingine, unaghadhibisha. JF ifanyieni kazi

    Wasalaam Wakuu. Umewahi kufanya mawasiliano na Mtu (PM) au kwenye uzi wa kawaida kisha ukishaandika na kutuma inakupasa usubiri ndani ya muda fulani? Nawapongeza uongozi na watumishi wote wa JF kwa kazi nzuri na ngumu wanayoifanya. Kwa hakika wanajitahidi mno. Lakini pamoja na hilo, kuna...
  12. M

    Je, ukiambiwa tuma CV unapaswa kutuma na vyeti?

    Habari wadau wa ajira, Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
  13. M

    Je, ukiambiwa tuma CV unapaswa kutuma na vyeti?

    Habari wadau wa ajira,. Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
  14. MK254

    Urusi kutuma wasanii wakawatumbuize wanajeshi wake walioishiwa na ari au mzuka

    Wanahisi labda wanajeshi wakitumbuizwa watakubali kupigana maana pamekua pagumu.... Russia says it will deploy musicians to the front lines of its war in Ukraine in a bid to boost morale. The defence ministry announced the formation of the "front-line creative brigade" this week, saying it...
  15. MK254

    Putin atafuta mbinu nyingine kwa kutuma viungo vya wanyama kwenye balozi 5 za Ukraine Ulaya

    Urusi baada ya kuishiwa mbinu na kupoteza wanajeshi wengi wamekosa njia wameamua kujaribu vitisho vya kijinga, wanatuma viungo vya wanyama hususan macho kwenye vifurushi kwenda kwa balozi za Ukraine kwenye mataifa ya huko Ulaya, ila na huko watapigwa tu.... Ukrainian embassies in at least five...
  16. H

    Tatizo ni nini kampuni za mwasiliano ya simu kutuma ujumbe wa kifurushi kwisha wakati bado

    Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo. Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao. Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe...
  17. MK254

    Ufaransa pia kutuma vifaa vya kuzuia mabomu ya Urusi yanayotupwa uraiani

    Hii yote ni kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya Putin ya mabomu anayopiga hadi bembea za watoto, ameikimbia frontline kaenda kushambulia makazi ya watu. Nchi yote ikilindwa vizuri dhidi ya haya mashambulizi, mapigano yatandelea vyema frontline kule ambako anapokea kichapo balaa. French...
  18. Narumu kwetu

    US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

    Marekani na washirika wake wanatarajia kukaa kikao kujadiliana namna ya kuweza kutuma ndege za kivita Ukraine. Kumbuka hitaji Hili Ukraine wamekua wakilihitaji kila siku. Pia Ukraine anahitaji vifaru vya kisasa aina ya leopards kutoka German, Germany alionekana kusitasita ila kwa mafanikio...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Njia ya haraka ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania

    Habarini wakubwa, ni njia ipi ya haraka Ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania?
  20. MK254

    Wakati Urusi bado wanahangaika na HIMARS, sasa USA kutuma 'VAMPIRE' Ukraine

    Hii VAMPIRE ina uwezo wa kufungashwa kwenye magari ya kawaida tu na ikafanya mashambulizi makali, na haihitaji wanajeshi wengi, mwanajeshi mmoja tu ametosha kusababisha maangamizi kwa kuitumia...... The VAMPIRE system can fit in almost any pickup or vehicle with a cargo bed. (Courtesy of...
Back
Top Bottom