UTANGULIZI
Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma katika miaka 5-25 ijayo na kujenga 'Tanzania Tuitakayo'.
Mtaalamu alisisitiza kuwa kwa kufuata mikakati...
Utangulizi
Katika kuiona Tanzania ya baadae yenye wananchi wenye nguvu na afya ni lazima tuweke kipaumbele cha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote. Wazo moja la kiubunifu ambalo linaweza kuboresha kwa kiasi kikubwa huduma za afya, hasa katika maeneo yasiyo na huduma za kutosha...
Haya maneno yamenifikirisha sana. Aliyekuwa ananiambia ni Katibu Wizara flan. Na ni sababu nimemuuliza mbona jina langu halipelekwi kwenye teuzi mbalimbali nami tayari nina uzoefu nshafiri sana na mama na Elimu inaruhusu.
Jamaa hakuuma uma maneno.kanichana live(watoto wa mjini mnasema hivyo)...
Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok.
Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.
Jamani nipeni tu hizi Mbinu haraka ili Nijihami mapema, kwani naziona kabisa dalili za Mimi Kutengenezwa / Kurogwa.
ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
Jeshi la Polisi Nchini limesema linawatafuta watu waliokula njama kuandaa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii tangazo linalowataka Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024, bila ukomo, hadi pale changamoto zao za kibiashara...
Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali.
Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu.
Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki.
Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
Ni wazo langu tu! tahadhali si uoga! Sishauri wapande helicopter moja au all together kutumia helicopter.
Tahadhali tu na wala si kuwa kuna any tetesi, NO NOT AT ALL. TAHADHALI TU
Mnajiaminisha vipi? kwa ya Iran are you exempted? Ya malawi?
take care Erythrocyte
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida.
Ni...
wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer?
Kila driver ninayoiona mtandaoni inauzwa. Msaada tafadhali
Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza ufanisi, kufikia wateja wengi zaidi, na kuongeza mauzo yao. Makala hii itachunguza jinsi wajasiriamali...
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press?
Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mkakati wake maalum wa kuzuia vitendo vyote vya kihalifu katika Jiji la Dar es Salaam. Kazi hii maalum ya kuzuia vitendo vya kihalifu ni muendelezo wa kazi hiyo iliyoanza mwezi Aprili 2024 na inayoedelea kulenga, kufuatilia...
Hizi ni athari za Kutumia Simu Wakati Iko Kwenye Chaji
1. Kuungua
Simu zinazotumika wakati wa kuchaji zinaweza kuwa na joto zaidi. Hii inaweza kusababisha kuungua kwa ngozi ikiwa itaguswa kwa muda mrefu. Kwa mfano, kuna visa ambapo watu wameungua mikononi mwao kutokana na kutumia simu kwa muda...
Kuna kitu kidogo kina tengeneza ugumu kwa wanao thubutu kujaribu fursa mbalimbali katika dijitali .
Kitu kikubwa kinacho changia kukatisha tamaa ni kukosa ujuzi wa matumizi ya intaneti
Ujuzi wa kutumia intaneti
Linapokuja suala la mtu kujifunza jinsi ya kutumia intaneti, ni muhimu kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.