Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia...
Kuna wazazi hawataki watoto wao waongoze darasani kwa kuogopa kulogwa! Kuna watu wakichomoza katika biashara watagundua adui wake wa kwanza ni shetani baada ya kuanza kutupiwa majini na ndoto za mashambulizi usiku na nyoka/wanga/unawindwa kuuawa! Kama una ndoto za kuwa kiongozi kama ujajijenga...
Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au ikawa sio kama uonavyo ukiwa sio muhusika.
Kuna watu wakikusimulia utaona kama vile wanakutisha hivi...
Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star link.Israel ikamshutumu sana na yeye akarudi nyuma.
Hata hivyo watu wenye ndugu zao nje huko Gaza...
Bila shaka kichwa cha habari kinajieleza vizuri sana.
Binafsi sina tatizo na falsafa ya uanzishwaji wa mbio za mwenge wa uhuru. Tatizo langu kubwa ni namna wanavyoweza kuathiri afya za wanaoukimbiza.
Nishati inayotumika sio rafiki kwa afya za wanaoukimbiza na hata walio karibu nao mahali...
Habari zenu wadau, ni Bob tena katika moja na mbili.....
Zamani wakati bado hakuna vifaa kama saa kwaajili ya kutazama muda, watu walikuwa wakitumia mbinu hii kujua wakati.( Sundials)
Walichora duara chini na kuandika namba tofauti za muda, kisha kuweka kijiti katikati.... Kadri jua...
Mwandishi anatupitisha kina na kutoa tahadhari ya jinsi ya kuepuka kuwa misukule ya habari, kipindi hiki kuelekea 2024 / 2025
Tunaangalia namna mabadiliko ya sekta ya habari na mawasiliano ikiwemo akili mnemba (Artificial intelligence-AI) yanavyoleta changamoto na umuhimu wa kuwa makini ili...
Kuna hizi wireless bulb, naona ziko portable na unaeeza kuangalia popote,
1. Je cloud/live stream inalipiwa au ni free lifetime?
2. Ubora wake ukoje? Kama nina camera tatu, zote naweza kuzi manage katika app moja?
3. Kampuni gani ni nzuri?
Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro.
Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana.
Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
Habari Wakuu.
Kuna mchongo hapa nawalete. Nahitaji mtu Anayeweza kutumia Linkedin na Indeed a apply Virtual Jobs nchini Canada au USA.
Tukikubaliana nitakutumia CV, wewe kazi yako ni Ku draft Cover Letter, kufungua account kwenye mtandao hii miwili na Ku apply hizo kazi za Virtual based na CV...
apartments
beautiful
contemporary
design
designs
gharama
gharama kubwa
hata
hotel
house
house design
katika
kibali
kibali cha ujenzi
kubwa
kuchagua
kulaza
kutumia
modern
plan
ramani
single
store
tofali
ujenzi
wakati
Nimekuwa nikijaribu kudownload azam max kwenye android tv kupitia goggle playstore lakini imeshindikana kwa kuwa wanasema hai suppprt kwenye Tv.
Je hakuna namna naweza kudownload azam max kwenye tv na kuweza kutazama kwa tv kama ilivyo kupitia simu???
Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo inapokatiza Reli ya Mwendokasi (SGR).
Licha ya mradi huo unaoratibiwa na Shirika la Reli Tanzania...
Habari za jioni wakuu,
Straight to the point, mimi ni mmoja ya watu wanaopenda kutunza vitu kama coins, picha, etc. as souvenirs. Sasa mwaka 2016, BoT ilipotimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake walitoa sarafu ya shilingi elfu hamsini.
Hii sarafu nilijaribu kuitafuta bila mafanikio kwani...
Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu.
Elimu ya kuungaunga na kujisikia kwiiiingi. Sasa urais wanautaka ilihali kijiti kinashikiliwa bado.
Updates...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi wa vijijini waliofikishiwa huduma za mawasiliano kuipa thamani miradi hiyo kwa kuitumia vinginevyo uwekezaji uliofanywa na Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi hautakuwa na maana.
Waziri Nape...
Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms.
Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network..
Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.