Habari wakuu!
Naona baadhi ya watu wanashinda Jf siku nzima ila mimi mpaka nikanunue vocha au kutumia wi fi .
Hivyo basi wataalamu wa hivi vitu naomba msaada wa jinsi gani naweza kuacess internet bila kutumia
Vocha au wi fi.
Habari boss, kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inapenda kukutaarifu kuwa inaendelea na zoezi la kupokea mizigo itakayosafiri Kwa njia ya ndege kutoka China kuja Tanzania.
Wiki hii ndege itasafiri Jumatano ya tarehe 25 mwezi wa 9.
Tafadhali mpatie supplier wako address yetu
OUR CHINA ADDRESS...
Ukiwa ni mtumiaji wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni vigumu kujilinda usitambulike wewe ni nani na upo wapi iwapo tu kuna taasisi ina shida na wewe kwa sababu yoyote ile.
Hata hivyo kufuatia mashambulio ya kigaidi ya Israel ya kielektronik huko Lebanon inabidi watu tujiongeze ili iwe...
Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu
Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi.
Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta...
Kama ni mtumaji wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakubaliana na mimi juu ya ongezeko la watu wanaouza vilaini (lubricant) kwa ajili ya kusaidia wanawake wasipate michubuko wakati wa tendo la ndoa.
Kila mmoja akiuza bidhaa ya aina yake, njia tofauti zimekuwa zikitumika katika...
Hawa ni wanajeshi wa Iran waliokua wanatoa misaada kwa magaidi wa waislamu, yaani Myahudi ni balaa nyingine....
Haya kama kawa njooni na povu zenu wazee wafia ile dini japo waoga wa kyeboard warriors...mnapigwa kote, mpaka sasa pale Gaza idadi ya mizoga yenu inasoma zaidi ya 40,000
Mlilianzisha...
Kwa nyumba ya bedrooms tatu na sebule nimejenga msingi wa coz tano nataka kujaza kifusi,je naweza kutumia magari mangapi haya ya kawaida yanayobeba mchanga kupajaza kifusi mpaka level
Uwanja wa Mkapa upo katika ukarabati, jambo lililopelekea baadhi ya mechi hususan hizi mechi za hatua ya awali kutoruhusiwa kutumia uwanja wa Mkapa mpaka hatua ya makundi ambapo vilabu ndipo huruhusiwa kutumia uwanja wa mkapa. Tumeshuhudia vilabu kama Yanga na Azam vikitumia viwanja vingine...
WhatsApp sijui wana shida gani na mimi?
Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo, nilivyoinstall WhatsApp kwenye hii simu nilitumia kama wiki moja hivi, baada ya hapo wakaanza kufungia...
GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
Mpango wa Korea Kaskazini kuendelea kutumia na kukuza silaha za nyuklia umekuwa suala lenye mvutano mkubwa kimataifa kwa zaidi ya miongo miwili. Nchi hiyo, chini ya uongozi wa Kim Jong-un na baba yake kabla yake, Kim Jong-il, imekuwa ikipuuza vikwazo vya kimataifa na kukataa juhudi za...
Mh Jaji Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Makakama wamewahimiza Watanzania kutumia Tume ya Mahakama wanapotendewa vibaya na watendaji wa mahakama na wanasheria kwa ujumla.
Hii nimeipenda maana kumekuwa na malalamiko ya kesi kutoamuliwa vyema na mahakama kuwa labda kuna rushwa au upendeleo, haya mambo...
Sisi ni nani, Kwanini tuwe sisi, Kwanini tuwe kama wao.
Hivi kiundani ushajiuliza imekukuaje umekuwa wa dini hio? Kwa nini uamini kirahisi rahisi juu ya stori zao ambazo muda mwingine akili yako inazipa red flags (alerts) kwa maana ni somewhat controversial?
Unaweza kuta kweli njia...
Wanawake wanajua kunitumia pesa kuliko kunitafuta pesa kuliko kuitumia na hapa ndipo mahali AMBAPO MUNGU alifanya mwanaume kulazimika kuwa na mwanamke kwenye maisha yako ila pia KWENYE KUZALIANA mwanaume hupoteza pesa nyingi sana kwenye kutumia kuliko mwanamke na wakati mwanamke hupoteza pesa...
Katika nchi nyingi zinazokabiliwa na udikteta au udhibiti mkubwa wa mitandao, uhuru wa kujieleza na kupata taarifa unazuiwa kwa kiasi kikubwa. Serikali huweka vizuizi kwa baadhi ya tovuti, mitandao ya kijamii, na huduma mbalimbali, ikilenga kudhibiti upatikanaji wa habari na maoni huru. Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.