Habari zenu Wakuu,
Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU.
Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi...
Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle.
Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu.
Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
Argentina wamemchagua Javier Milei kuwa Rais wao mpya. Ni jamaa mwenye msimamo mkali wa kulia. Moja ya malengo yake ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi na mfumuko wa bei ni kuiua pesa ya Argentina(Peso), kuvunja benki kuu na kuanzisha matumizi ya Dola ya Marekani kama pesa rasmi ya nchi...
Habari zenu ndugu zangu wa Jf,poleni na majukumu ya kutwa nzima.
naombeni msaada ama maelekezo ni jinsi gani naweza kutumia whatsapp kwenye desktop bila kutumia emulator ya aina yoyote kama hili linawezekana.maana nimejaribu kutumia kwenye bluestacks 5 lakini inacrush kila...
Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
Jana nilisikia kuwa Yanga baada ya mechi yao na Medeama, walizungumza na mshambuliaji wao hatari aliyewasumbua sana Jonathan Sowah kwa nia ya kumsajili.
Nakumbuka msimu uliopita katika mashindano ya shirikisho, karibia kila timu iliyokuwa inacheza na Yanga, baada ya mechi ya kwanza na timu...
Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua.
Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri mhusika wakati ule.
Tatizo ,wanasema,kwa nini nyumba zile zilikuwa hazinunuliwi ni kwamba watu walipokuwa...
Ni Heri kutumia common sense kama yule Rais fulani wa Africa aliyesimama Imara na kuiponya Jamii yake
Johnson alikuwa akijibu Swali la Jaji huko UK
Sijajua huyo Rais wa Africa anayempongeza ni nani!
Maandalizi Mema ya Sabato 😀
---
Boris Johnson says more "common sense" should be used at...
Mimi na wenzangu raia wa Mkoa wa Manyara hakika mmetuaibisha sana sisi wakazi wa Kateshi kwa kutumia shida na machungu yetu kama mtaji wenu CCM katika harakati zenu za siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa 2024 na ule mkuu 2025.
Nini hasa kimepelekea nyie mjivishe jukumu la nani aje atupe pole na...
Ofcom imesema kujitambulisha kwa umri, mbinu za kulipa mtandaoni ambazo hazihitaji mtu kuwa na umri wa miaka 18, kama vile kadi ya benki, au masharti ya jumla.
Tovuti zinazoonyesha maudhui ya ponografia(Video za ngono) zinaweza kulazimika kutumia ukaguzi wa kadi ya Benki na kulinganisha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang.
Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
ajabu
dp world
kimya
kugharamia
kugharamia mazishi
kurejea
kurejea nchini
kutumia
mama samia
mikono
mitupu
ngamia
rais
rais ruto
rais samia
ruto
samia
sana
usafiri
waarabu
wavuvi
wazungu
ziara
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Bahati Malila kifungo cha miezi sita jela baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matano, yakiwamo kughushi cheti kilichoonyesha kuwa kimeletolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Pia Mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa Godfey Mtonyo baada ya upande wa...
Habari Wakuu,
Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo nilivyokuwa nafatilia hiki kipindi nilifikiri ni Bahati mbaya tu Maan muda mwingne Mdomo huteleza ila kadri...
Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini.
Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan kutumia zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa...
Ni fursa adimu sana jeshi la Israel limetoa la kusimamisha vita kwa siku chache ili kupisha zoezi la kubadilishana mateka na kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingiza Gaza kabla ya zoezi la mashambulizi mazito kuendelea mbele ili kuhakikisha hakuna punje inayoitwa Hamas inabakia Gaza.
Kama Hamas...
Mbunge Eng. Aisha Ulenge Ashauri Uanzishwaji wa Programu Kuhamasisha Wanafunzi Kutumia Maktaba
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhandisi Mwanaisha Ulenge amefanya ziara ya kutembelea Maktaba ya Mkoa wa Tanga na kushauri kuanzishwa program ya kuhamasisha Wanafunzi na jamii kuitumia Maktaba...
Mkakati uliopo baada ya kukoswa njia mbadala ya kuwafumua mashimoni Hamas, IDF wamekuja na mkakayi wa kupump maji ya baharini kwenye mahandaki na tunnels za hamas huko gaza.
Njia hii iliwahi kutumiwa na Misri huko sinai kwa haohao Hamas. Walikuwa na mahandaki wakipitisha magendo ya silaha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.