Swali wakuu,
Je, mwanaume anaweza kutumiwa kingono na msichana? Kuna msichana mmoja ambaye kila mawasiliano ni kuhusu mambo ya ngono tu, hana mada nyingine.
Kila nikijaribu kubadilisha mazungumzo, anakataa, akisisitiza kwamba anataka kuzungumza tu kuhusu mambo ya ngono. Huyu ni mtu mwenye...