Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Chitete wilayani Ileje, mkoani Songwe, Harison Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na watu wasiojulikana.
Mwenyekiti wa kijiji, hicho Joseph Mwashitete amesema tukio hilo lilitokea jana Jumatano Machi 12...
Katika historia ya dunia, kumekuwa na matukio ambapo makundi ya watu wachache yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa kijamii, kisiasa, kielimu, kiuchumi, n.k. Hali hii mara nyingi imepelekea chuki kutoka kwenye kundi kubwa na hatimaye mauaji ya kimbari (genocide), kuwafukuza, n.k. Aidha, wachache hawa...
Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA.
Eti ebu wewe mwenyewe fikiria.
Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho!
Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA...
Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo vya kupigwa na kuuawa.
Wakati huu Leo tarehe 27/11/2024 ninapoandika hapa, tayari CHADEMA wametoka taarifa za kuuawa kwa wanachama wao wawili.
CHADEMA wameripoti kuwa kwenye Kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni aliyekuwa mgombea wao kwenye kitongoji kinachoitwa "Stendi" amepigwa risasi na kufariki.
Lakini pia CHADEMA...
Taarifa iliyotolewa na Mwanachana wa CHADEMA, Hilda Newton imeeleza kuwa kada wa chama hicho katika mji wa Tunduma, Steve Chalamila amevamiwa nyumbani kwake na kuuawa na wanaodaiwa kuwa Green Guard.
Amendika kupitia mtandao wa X "tumepata msiba mkubwa Kamanda wetu Stivu Chalamila ameuwawa...
Mitume wa Mwanzo Walivyoteswa na Kuuawa
Petro
Mtume Petro alikuwa kiongozi wa kanisa la kikristo. Alikuwa ni mvuvi kabla Yesu hajamteua kuwa mwanafunzi wake.
Aliuawa huko ROMA, ITALIA.
Alipata adhabu ya kifo cha msalaba. Ila, yeye alisulubiwa tofauti na Yesu Kkristo.
Kusulubiwa kwa Petro...
Very painful Karne ya ishirini na moja unaruhusu binadamu mwenziyo kuuawa na kuteswa kwa kisingizio Cha kutekeleza majukumu. Nani asiyejua Kuna bahati mbaya na ndiyo maana kwenye makosa ya mauaji yapo ya kukusudia na Yale ya kutokusudia. Sasa inakuwaje bunge letu, Baraza la mawaziri pamoja na...
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amedai alikutana na majaribio mawili ya kuuawa kwa njia ya sumu kabla ya kuondolewa katika nafasi ya Naibu Rais na kusema kuwa Rais #WilliamRuto amemsaliti
Akizungumza baada ya kutoka Hospitali ya Karen alipokuwa amelazwa amesema “Sihisi kama nipo salama...
Kwanza tuelewe , ugaidi na uislamu ni vitu viwili tofauti.
Tujikumbushe nyuma kidogo kisa cha kuuawa kwa Gadaffi wa Libya na Saadam wa Iraq , pamoja na yote wale ndio walikua wafadhili wakubwa wa makundi ya kigaidi duniani.
Walitumia mabilioni mengi kufadhili makundi hayo duniani kote,
Baada...
Ni rasmi ameuawa jana kwenye Makao makuu ya Hezbollah -Beirut kwa mashambulizi ya ndege za F35 ambapo eneo alilokuwemo lilipigwa na bomu la bunker lenye pound tani 2000.
Hassan Nasrallah ameongoza Hezbollah kwa miaka 32,kutoka mpiganaji wa mtaani mpaka kiongozi Mkuu.
TERUSO YAANI ALIYEOKOKA KUUAWA KWA UPANGA WA MIUNGU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuhani Katika Hekalu Jeusi.
Tena siku zile nikasema acha nifuate njia zangu mwenyewe. Nimechoka kuwa chini ya MUNGU. Nitatumia nguvu zangu mwenyewe. Akili zangu mwenyewe. Wala sitaki Tena kuongozwa na huyo...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akiwa katika Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya chama chake, ametoa kauli akimjibu Rais Samia, kufuatia hotuba aliyoitoa Rais Samia wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi.
Kiongozi huyu wa ACT Wazalendo...
Naona tunakazana sana sababu tunajua mitanzania mingi haina uelewa. Itajikita mambo ya Simba na Yanga na kusahau ya msingi.
Hili limesukwa na kuja changamsha vijiwe huku mtaani watu wote wanazungumzia mbuzi kagoma. Simba na Yanga na sijui nini
Lengo ni kuwatoa watu kwenye Reli.
Ndugu zangu Watanzania, itambukwa kuwa kumekuwa na utekaji, utesaji na mauaji kwa ndugu zetu Watanzania hapa Nchini. Kutokana na kushamiri kwa vitendo hivyo viovu, binafsi napendekeza siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili wiki hili ziwe ni siku pekee za kuwakumbuka Watanzania wenzetu waliopatwa...
Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024.
Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinatolewa kuwa aidha maiti zimefukuliwa kwa mganga wa kienyeji na maiti hizo unakuta ni za watu ambao walipotea na kutafutwa na ndugu, au mtu kafia kwa mganga na mtu huyo alitoweka akawa anatafutwa.
Polisi: Wafanyabiashara wawili waliodaiwa kupotea...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024
Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao
Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio...
Mkazi mmoja wa maeneo ya kati ya Israel amekamatwa na kikosi cha kijasusi cha Shin Bet kutokana na kutoa vitisho vya kutaka kumuua waziri mkuu wa Israel.
Wiki iliyopita kitisho kama hicho kilitolewa kwa waziri wa wa mambo ya usalama wa taifa,,Itamar Ben-Gvir ambaye ni mmoja wa mawaziri wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.