kuuawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin 'Chupuchupu' kuuawa

    Habari kutoka Shirika la habari la Reuters zinaeleza kwamba Jasusi mbobezi, Rais wa Urusi, Vladimir Putin alinusirika Kuuawa mwanzoni kabisa mwa mgogoro wa Vita ya Ukraine. Kwa sasa Putin inawezekana ndiye Rais anayeishi kwa wasiwasi mkubwa kuliko Marais wote wa nchi nyingine duniani. Putin...
  2. Makanyaga

    Ture story! A very beautiful kid Wawa alinusurika kuuawa na ndugu zake akiwa na miaka 6 tu; sasa hivi ana kiama 22

    Sikiliza hiyo documentary hapo chini kutoka 7 NEWS Spotlight TV; kupitia kipindi chao kimoja ambacho huwa wanarusha Jumapili usiku kinachoitwa SUNDAY NIGHT TRUE STORIES
  3. JanguKamaJangu

    Jeshi la Polisi: Madai ya Makonda kuuawa, kama yupo ‘siriasi’ aende Polisi

    Muda mfupi baada ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika mtandaoni kuwa kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua, Jeshi la Polisi limesema kama kweli ana hofu anatakiwa aende kutoa taarifa Kituo cha Polisi. Akizungumza na Kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi...
  4. MAHANJU

    Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

    Hi Kamanda! Kamanda Malisa pole na hongera sana kwa kazi ya Utume unayoifanya ya kuihudumia jamii ya Watanzania. Mungu akulipe kila lililo jema. Kamanda Malisa mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Singida Wilaya ya Ikungi kutoka Kijiji cha Minyughe. Tuna ndugu yetu aitwaye Petter Mtinangi ambaye alikua...
  5. Nkobe

    Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

    Kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba Russia ilipanga kuwa imeiteka ikulu ya Kiev ndani ya siku mbili, wapachike vibaraka wao madarakani kisha warudi nyumbani. Lakini sasa hali imekuwa tofauti kama ambavyo ulimwengu umekuwa ukiitizama nguvu ya kijeshi ya Russia. Hadi sasa majenerali 5 wa...
  6. jingalao

    Hata Hayati Magufuli alinusurika kuuawa mara kadhaa wahuni si watu

    Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa. Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI. Tuungane kukemea wahuni.
  7. L

    Walipiza kisasi cha kuua kijana baada ya mwenzao kuuawa na sungusungu Mburahati

    Wanabodi, Siku za nyuma niliweka thread kuhusu mauaji ya kijana Jumanne Jongo kuuawa na sungusungu maeneo ya Beach Boy Mburahati.Kijana huyu anaishi maeneo ya Banda Mabibo. Kijana aliyeuawa anaitwa Abdu ana umri wa miaka 19. Kilichotokea ni kwamba kijana aliyeuawa alikwenda kwenye mziki maeneo...
  8. Komeo Lachuma

    Nini kilikuwa sababu ya kuuawa Dkt. Mvungi na Prof. Juani Mwaikusa?

    Watanzania tulivyo wasahaulifu hawa watu hatuwakumbuki kabisa. Na hatukumbuki kuwa walio waua watu hawa mpaka sasa hawajapatikana. Tunaendelea kusifu huku na kuponda kule. Yaani Halali au Haramu inategemeana imetendwa na nani. Mauaji ya watu kadhaa yamekuwa ni sehemu ya Utendaji wa watu flani...
  9. K

    Tafadhali: Mwenye habari kamili kuhusu kuuawa kwa mwalimu huko Kinyerezi Dsm, mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki.

    Ni story ya kusikitisha. Ugomvi wa kiwanja. Nimeiona hiyo nyumba inayotakiwa kubomolewakijuujuu tu. Tafadhali mwenye picha kamili
  10. M

    Revocat Karemangingo aliyekuwa luteni wa Jeshi Rwanda apigwa risasi na kuuawa Maputo Msumbiji

    Revocat Karemangingo luteni wa Jeshi la Rwanda aliyepinduliwa 1994 na majeshi ya Kagame aliuawa juzi kwa kuvamiwa kwenye gari lake akiendesha kurudi nyumbani kwake kwa kupigwa risasi 9. Alikuwa uhamishoni kama mkimbizi Maputo msumbiji.. Alikuwa Mfanyabiashara na muweka hazina katika chama cha...
  11. G

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  12. Analogia Malenga

    Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa

    Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha ameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa anamiliki silaha aina ya Glock-17 kwa ajili ya kujilinda kutokana na kutishiwa kuuawa. Akihojiwa...
  13. meningitis

    Je, vitisho vya kuuawa Zitto vilikuwa na uhalisia?

    Hapa chini nawaletea kipande cha maelezo ya Zitto katika moja ya threads maarufu zilizowahi kutokea humu jamvini ambapo bavicha walikuwa wakishambuliana. #Ninasikitika sana kuona wanachama wa CHADEMA wanavyoweza kutumika kwa maslahi ya kundi fulani kuharibu heshima ya viongozi wao mbele ya...
  14. Jokajeusi

    Nimenusurika kuuawa Guest house baada ya mpenzi wangu kupandisha majini

    Kwema Wakuu! Leo hii mngepewa taarifa ya tanzia ya msiba wa jokajeusi baada ya Jana kunusurika kuuawa nikiwa Guesthouse. Kwa kweli ningeingia Kuzimu Kwa Aibu huku nikiacha fedheha kubwa Duniani. Ishu ilianza, majira ya saa moja jioni, ambapo nilikuwa nikiwasiliana na Mtoto mrembo aitwaye Warda...
  15. Influenza

    Haiti: Rais Jovenel Moise auawa akiwa nyumbani kwake. Mkewe ajeruhiwa

    Rais wa Haiti, Jovenel Moïse ameuawa katika shambulio lililotokea kwenye makazi yake huku ikielezwa Mkewe amejeruhiwa Taarifa za kifo chake zimetolewa na Waziri Mkuu wa Mpito, Claude Joseph ambaye anaongoza Nchi hiyo kwa sasa ======== The president of Haiti, Jovenel Moise, was reportedly...
  16. Ng'wamapalala

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  17. Replica

    Watu kuuawa kwenye Hifadhi laibuka Bungeni, Spika amwambia Ndumbaro alikuwepo Kagesheki kabla yake Akaondolewa na Kamati

    Leo Spika wa Bunge, Job Ndugai amempiga mkwara waziri wa maliasili na Utalii kutokana na kukanusha vifo kwenye hifadhi nchini, Spika amesema kabla huko nyuma alikuwepo Kagasheki ambae nae alikanusha lakini baadae kamati ya Bunge ikamfanya aondoke ======== Spika wa Bunge la Tanzania, Job...
  18. mediaman

    Mchungaji na mkewe wanusurika kuuawa

    Kweli duniani kuna mengi. Ni ajabu mwanadamu anamuwinda mwanadamu mwenzake utafikiri tunaishi katika mbuga za wanyama. Siku kadhaa zilizopita, mimi na Mchungaji wangu pamoja na mke wake, tulinusurika kuuawa. Ilikuwa alasiri, mimi na Watumishi hao wa Mungu, tulienda kufanya huduma katika mji...
  19. Miss Zomboko

    Matukio ya Wanawake kuuawa na wenza wao pamoja na vitendo vya kujichukulia sheria mkononi yanazidi kuongezeka

    Ripoti ya Haki za Binadamu inaonyesha kuwa matukio ya mauaji ya wanawake kuuliwa na wenzi wao kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa wivu wa mapenzi yaliongezeka zaidi mwaka 2020 ikililinganishwa na mwaka 2019. Kulingana na ripoti hiyo iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa...
  20. Ben Saanane

    Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia...
Back
Top Bottom