kuuawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Kikongwe wa miaka 90 adaiwa kuuawa kisa kumkataza kijana asipande mnazi

    Hilda Ngassa (90) ameuawa kwa kudaiwa kukatwa kwa panga na Yohana Luhanga (32) ambaye naye ameshambuliwa na wananchi wenye hasira kali na amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akipatiwa matatibabu. Inadaiwa sababu za kuuliwa kwa Hilda ni kutokana na kumkataza Luhanga asiangue...
  2. MK254

    Wanajeshi 100 wa Urusi waliokuwa wanasubiri hotuba wapigwa bomu na kuuawa

    Walikua wanasubiri hotuba ya kuwatia hamasa, maskini hawakujua satelite inawaona. =========== As many as 100 Russian troops gathered for a motivational speech near Ukraine’s eastern frontline may have been killed in a strike earlier this week, prompting fury among Russian military bloggers...
  3. I

    Kiongozi wa kikundi cha mamluki cha Russia (Wagner) akiri wapiganaji wake 20,000 kuuawa Bakhmut, Ukraine

    Wanajeshi 20,000 wa kundi la mamluki la Wagner la Russia waliuawa katika vita vya miezi kadhaa vya kuudhibiti mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, mwanzilishi wake amesema. Yevgeny Prigozhin alisema amewaandikisha wafungwa wapatao 50,000 kupigana na Wagner katika vita vya Russia nchini Ukraine...
  4. J

    Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

    Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona. Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani. Rais Samia ambaye ndiye...
  5. 5523

    Wanajeshi 20,000 wa Urusi wadaiwa kuuawa au kujeruhiwa huko Bakhmut, Ukraine

    Na BBC Swahili Vita vya Bakhmut, mji wa Ukraine ambao Urusi imetumia miezi kadhaa kujaribu kuuteka, "inaendela kwa utulivu", anasema kamanda mkuu wa Ukraine. Mapema mwezi huu, maafisa wa Magharibi walikadiria kati ya wanajeshi 20,000 na 30,000 wa Urusi waliuawa au kujeruhiwa huko Bakhmut tangu...
  6. Gang Chomba

    Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    SAD NEWS… Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera. Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
  7. JanguKamaJangu

    Ripoti, Kagera: Ndani ya miezi miwili watu 33 wameripotiwa kuuawa

    Matukio ya watu wawili kuripotiwa kuuliwa kwa vitu vyenye ncha kali hivi karibuni Mtaa wa Kyaya, Kagera yameongeza mazingira ya hofu kwa baadhi ya Wananchi kutokana na mwenendo takwimu za mauaji kuongezeka. Akizungumzia hali hiyo, Kamanda wa Polisi wa Kagera, William Mwampaghale amesema “Kati...
  8. Lady Whistledown

    Cameroon: Waandishi wa Habari waomba ulinzi baada ya mwenzao kuuawa

    Ni kufuatia Mauaji ya Martinez Zogo, na mwili wake kutupwa Nje kidogo ya Mje Mkuu Yaoundè, Jan. 22, 2023 baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana Siku chache kabla ya kifo chake, Mwandishi huyo aliyekuwa Mkosoaji wa Serikali, alikuwa ametishia kufichua Ufisadi Serikalini Shirika la kutetea...
  9. MK254

    Wanajeshi 600 kuuawa kwa siku moja, hivi Putin huwa anawajibu nini wazazi wa hawa vijana

    Hivi mbona Marusi sio kama wazungu wengine, ujamaa husababisha watu wanaishi kama mazombi ya kupelekeshwa na serikali, mtu mmoja kwa uchizi wake ameingiza nchi kwenye vita visivyokua na tija yoyote na kusababisha maelfu ya vifo vya vijana, ameishiwa wanajeshi mpaka anaokoteza walalahoi vijiweni...
  10. KING MIDAS

    Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

    Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki. Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote. Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue...
  11. Randy orton

    Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

    Ripoti mbalimbali zinasema rapper maruufu wa kundi la 'Migos' amefariki kwa kupigwa risasi huko Houston,Marekani. Bado hakuna taarifa ya kina kuhusu namna tukio lilivyotokea.
  12. BARD AI

    Familia yagoma kumzika ndugu anayedaiwa kuuawa kwa kipigo

    Mwili wa Ibrahim Shakiru (16) utaendelea kusalia katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Bugando mpaka pale familia ya mtoto huyo itakapoelezwa hatua zilizochukiliwa dhidi ya watu waliomshambulia na kusababisha kifo cha mtoto wao. Ibrahim anadaiwa kufariki Jumatano Oktoba 26, katika...
  13. BARD AI

    Askofu Dkt. Bagonza ataka uchunguzi wahalifu kuuawa na Polisi

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema Ili kuondoa malalamiko yanayotolewa dhidi ya matukio ya uhalifu yaliyosababisha baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa wahalifu kuuawa na askari Polisi, ni vyombo hivyo kukubali...
  14. MK254

    Putin alikua amekoswa koswa kuuawa mara sita, ndani ya nchi yake

    Jamaa anaishi maisha magumu sana kama kibaka, anaogopa hadi kivuli chake ndani ya nchi yake pamoja na utajiri wote ule. Anawindwa kuuawa kila siku tena ndani ya nchi yake supapawa ambapo ndiye rais. Najaribu kuwaza maisha wanayoishi wahudumu wake wakiwemo wapishi, lazima wananyimwa amani sana...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

    KAMA UPO CHINI YA MIAKA 40 USITUMIE PESA KUYAPATA MAPENZI YA WANAWAKE Anaandika, Robert Heriel Andiko hili ni Kwa utambuzi vijana, kuwafanya wajiamini na kujielewa. Wakati wanawake wakihamishana Kupenda wanaume wenye pesa na kuwabagua wanaume wachanga ambao wapo kwenye umri wa utafutaji...
  16. MK254

    Warusi waomba majenerali wao wapigwe shaba na kuuawa kwa kusababishia nchi aibu

    Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana na nchi yao...wenyewe wanaita "mother Russia" A Russia state-media host has called for the...
  17. JanguKamaJangu

    Kagera: Familia yadai ndugu yao kuuawa, Polisi wakanusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limesema kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Byamtemba, Kata ya Nsunga Wilayani Missenyi Mkoani Kagera, Jonathan Bunyaga alipata ajali na hajauawa na watu wasiojulikana kama inavyoelezwa. Mwili wa Jonathan uliokotwa ukiwa umetelekezwa kando ya barabara...
  18. JanguKamaJangu

    Mmiliki wa saluni ya kike Sinza adaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake

    Matukio ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini. Inadaiwa...
  19. Suzy Elias

    Kuna nini nyuma ya kuuawa kwa Makasisi wa Kanisa Katoliki?

    Ndani ya mwaka mmoja Makasisi wawili wa Kanisa Katoliki wameuawa kikatili mmoja huko Dar es Salaam na mwingine huko Mbeya. Vifo vya Makasisi tena kwa kulengwa na kuteswa hakika si jambo la kupuuzwa hata kidogo! Kanisa Katoliki yalipasa kwanza like likemee tabia hiyo na pili lichunguze lenyewe...
  20. Donnie Charlie

    Mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala

    Kijana ambaye jina lake halijatambulika mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala. Inaelezwa kuwa askari huyo alikuwa amekwenda kumkamata kijana huyo nyumbani kwake baada ya mkewe kumshtaki polisi...
Back
Top Bottom