kuuza

  1. M

    Hii ndio mbinu bora ya kuuza bidhaa zenye bei kubwa.

    Moja ya kazi ngumu kwa mfanyabiashara/mtu wa mauzo. Ni kuuza bidhaa/huduma za bei kubwa kubwa. …..Kuna sababu nyingi tu ambazo huchagiza hali hiyo Ikiwemo kupoteza pesa nyingi kwa wakati mmoja (financial risk) Au hicho kitafanya kazi iliyokusudiwa ? (functional risk) Au watu watanicheka...
  2. Entim

    Naomba msaada: Nahitaji frame Kariakoo, mtaa wa kuuza pochi za kike

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT. Nimeingia Dar, takribani miezi 3 iliopita nikitokea Mtwara baada ya kufunga biashara yangu Mtwara MC Uchumi umeshuka kwa kasi na ninaelekea kupoteza mtaji, hadi natamani kujinyonga. Nimejaribu biashara mtandaoni nimeishia kuchata na watu, eg mtu anauliza bei...
  3. C

    Mnafanyaje kuuza madeni ya mkopo wa bank moja kwenda nyingine kwa mtumishi?

    Tunaombeni hizo mbinu wakuu Hali ni Tete nilichukua mkopo wa Bayport baada ya huu mfumo wa ESS kuja saivi imekuwa ngumu kuuza deni Mnatumia mbinu gani jamani. Balance ya mkopo ni 1,800,000 na Makato Kila mwezi ni 62000 nifanyaje hapa wakuu, Nina uhitaji sana na hela kwa muda huu na njia pekee...
  4. F

    Mashine za kuuza maji kwa coin zinauzwa

    Zipo mashine tatu za kuchakata maji kuwa safi. Kila mashine ina uwezo wa kuzalisha lita 250 kwa saa na inatumia mfumo wa coin katika uendeshaji. Mashine zote zipo katika hali nzuri (used) na zinapatikana Dar es Salaam. Bei ni TZS 6,000,000 kwa kila moja. Kwa wateja wa mikoani, tunatuma...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  6. mdukuzi

    Kauli ya Simba ya ‘Tunajenga Timu’ lengo ni kuwapumbaza wasiojielewa

    Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+ Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kupata stroke. Simba wao kimyaaa wanadai wanajenga timu...
  7. Sir John Roberts

    Naombeni ushauri nataka kuuza mali zangu polepole nifurahie maisha urithi kwa watoto ni elimu niliyowasomesha mnasemaje?

    Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu. Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
  8. suzie _barbie

    Naombeni Ushauri: Utaratibu wa kuuza bidhaa Nje ya Nchi.

    Good morning wadau, Happy New Year, Mimi nina wazo la kuuza viungo( spices) Nairobi na nimeshafuatilia soko kuwa ipo vizuri. Sasa, sijui nianzie wapi kuhusu utaratibu wa kufuata. Sitaki kufanya hii biashara kiholela but nifanye kwa ustadi mkubwa and in a professional manner. Hivyo, naombeni...
  9. jT0078

    TUNATENGENEZA COMPUTER AINA ZOTE NA KUUZA ACCESSORIES

    LETE COMPUTER YAKO MBOVU TUITENGENEZE KWA GHARAMA NAFUU PIA TUNAUZA SPARE NA ACCESSORIES ZA COMPUTER AINA ZOTE TUPO ILALA DSM 0767953873
  10. youngkato

    Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. 1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue...
  11. S

    Nauza kiwanja changu Zinga Bagamoyo

    HABARI, NAKIWANJA CHANGU ZINGA(BAGAMOYO ROAD)UKUBWA 2780 SQM NATAKA MTEJA WA UHAKIKA NAJAMBO LANGU BEI SASA NATAKA OFFER NZURI TU KINA HATI FIKA SITE TUZUNGUMZE JANUARY HII,FRAME 5 NA UKUTA NI NYUMA YA SOKO.MTEJA SERIOUS TUWASILIANE TAFADHALI killuminatejr@gmail.com
  12. errymars

    China yajadili mpango wa kuuza TikTok kwa Elon Musk

    https://fntaz.com/china-yafikiria-kuuza-mtandao-wa-tiktok-us-kwa-elon-musk/
  13. Technophilic Pool

    Nime-request kuuza vipande vya UTT tangu Jumapili, leo ni Ijumaa bado hela haijawekwa kwene Acc? Je, ni sawa ndio inavyokuwaga?

    Wataalam wa UTT nipo acc ya ukwasi Kwa maelezo, niliambiwa ni siku mbili za kazi mpunga unakuwa ushasoma leo ni wiki. Hadi napata wasiwasi
  14. M

    Huku Manispaa ya Songea, Watoto wadogo wamekuwa Machinga wa kuuza mifuko hadi muda wa usiku

    Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku. Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
  15. Waufukweni

    Dodoma: Polisi yamsaka nchi nzima aliyetangaza kuuza mtoto kwenye mitandao ya kijamii kwa TSh. milioni 1.6

    Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza mtoto al aliyembeba kwa shilingi milioni moja na laki sita. Msako huo utahakikisha anakamatwa ili...
  16. milele amina

    Ninatangaza kuuza Avatar yangu!

    Karibuni! Niwatakie Heri ya mwaka mpya 2025
  17. Meneja Wa Makampuni

    Kijana anatafuta kazi yeyote ile (Za ndani, kuuza duka, shamba boy, kuosha magari, kulima, saidia fundi n.k)

    Habari JF members, Kuna kijana anatafuta kazi yeyote ile kijana anaitwa WAZIRI GAO. Elimu yake ni form four. Anapatikana Dar es Salaam. Alitoka Same akaja Dar es Salaam kutafuta maisha bahati mbaya hajafanikiwa. Anaweza kufanya kazi zifuatazo: 1. Za ndani 2. Kuuza duka, 3. Shamba boy, 4. Kuosha...
  18. O

    Nawezaje kuagiza laptop kwa ajili ya kuuza, ni masoko Gani ambayo ni Bora

    Ndio msaada wa jambo Hilo sihitaji kusafiri kwenda huko ikiwa Kuna mbadala tujuzane
  19. The Knowledge Seeker

    Nawezaje / Tunawezaje kuuza nje mazao ya yatokanayo na kilimo

    Habari wana jamii wenzangu. Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu. Nimekaa nakutafakari namna na jinsi ambavyo ninaweza, au tunaweza kama vijana kutafuta masoko ya mazao yatokanayo na kilimo nje ya nchi. Mfano wa uchache wao ni kahawa, korosho, pamba karafuu na mengineyo Kwenye...
  20. J

    Ni baada ya muda gani naweza Kuuza vipande kwenye mfuko wa Liquid Fund baada ya kununua?

    Wakuu habari, ni muda gani naweza kuuza vipande kwenye mfuko wa UTT liquid Fund au mfuko wa Ukwasi, je naweza kuuza hata baada ya mwezi mmoja au miwili baada ya kununua ama ni mpaka meiezi mitatu au mwaka labda?
Back
Top Bottom