Habari wakuu.
Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla?
Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake.
Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia.
Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
Dodoma, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amepiga marufu uuzaji wa mafuta ya Petroli, Dieseli, na Mafuta ya Taa yasiyo na vinasaba unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara nchini.
Dkt. Kalemani alitoa maagizo hayo Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kushtukiza ya kukagua vinasaba kwenye...
MIAKA sita iliyopita, Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania ulikuwa ukitajwa kama mmoja wa miradi ya kimkakati yenye fursa kubwa ya kuzimua uchumi wa taifa hilo. Midomoni kwa watumishi wa umma na viongozi wa serikali, neno bandari ya Bagamoyo halikutoka.
Hata hivyo, miaka...
Nina rafiki yangu mmoja ambaye amebahatika kukutana na kuongea na bosi mmjo wa kampuni moja kubwa iliyojikita kwenye biashara ya mafuta na gesi; katika maongezi yao rafiki yangu alipendezwa na kufanya biashara ya kuuza gesi. Wakakubaliana kuwa anataka kufanya biashara ya kuuza gesi iliyoko...
Nimesikia haya Mambo kuwa Rayvanny anaongoza mauzo katika digital platform, ni kweli lakini mi sioni kama ni hoja.
Sawa anauza sana hata Zuchu anauza sana lakini kuna hasara yake kwa upande mmoja au mwingine, asilimia kubwa ya mauzo ya Rayvanny na Zuchu yanakwenda kwa Diamond , so hata kama...
Nilicho elewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu
Ukiigawanya hiyo pesa kwa Watanzania milioni 60
Trillion 1.28 ÷ milioni 60
1,280,000,000,000 ÷ 60,000,000 = 21333
Kila mtanzania atapata elfu 21.
Sasa kazi kwenu mziuze ndege zetu au mtafute bodi ya wakurugenzi yenye wataalamu wa...
Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu ya kazi, naombeni ushauri wenu maana nimeshikwa na gadhabu sana tangu siku ya jana.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 39, na kwetu tumezaliwa watatu tu mimi nikiwa wa kwanza, elimu yangu ni degree 1, baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikawa tu...
Mwaka 2009 ndipo nilianza rasmi ujasiliamali..hii ni baada ya kutoka chuoni na mbaya zaidi na kujigundua mjamzito.
Sipo hapa kuelezea nilipotoka kwasababu nataka privacy na sipend kujulikana kupunguza usumbufu.
Leo nipo hapa kuwatia moyo especially wale wenzangu na mimi wenye ari ya kupata...
Hiki ni Kijiji cha Mbigiri kata ya Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro ambacho kinaoongozwa na diwani anayefahamika kwa jina la Watende Rashidi na mw/kiti wa kijiji anaitwa Jalala.
Viongozi hawa kwa pamoja wanashirikiana KUPORA na KUUZA mashamba ya wananchi katika kata hiyo...
Mtego uliowekwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA) Kanda ya Kusini umefanikiwa kumnasa Jamaly Sad akiuza dawa za Serikali.
Taarifa ya TMDA inaeleza kwamba Sad amenaswa kwenye mtego huo Januari 31, 2021 wilayani Newala na alikuwa akiuza dawa za Serikali za Mpango wa Uzazi.
Dawa hizo ni...
Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?
Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20
Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Natafuta eneo la kuuza juice ya miwa,nina mashine na banda na kila kifaa kinachohitajika hivyo natafuta eneo.
Likiwa Tabata segerea stand itafaa zaidi
Ni lazima kuena mzunguko mkubwa wa watu.
Kwa yeyote mwenye eneo anichek dm
Tangu ijumaa tarehe 15 January 2021 imekua siku mbaya sana kwa bwana Abdul Jamaa aliyekua akijulikana kama baba Nasibu au Mzee Dangote.
Hii issue ya mzee Abdul itapita lakini sisi kama jamii tuna jambo kubwa sana kujifunza haswa kwenye mahusiano na hata kwenye malezi.
Kwa wale waamini wa Mungu...
Halmashauri ya wilaya ya Chato ikishirikiana na NHC inawakaribisha watanzania kununua viwanja vya makazi, biashara na viwanda eneo la Rubambagwe lililo katikati ya mji wa Chato na pembezoni mwa ziwa Viktoria barabara kuu ya Bukoba.
Chato inafikika kwa usafiri wa anga, maji na ardhini pia ni mji...
Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma.
Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa maredioni licha ya ukandamizaji wa utawa wa makaburu.
Huyo mdada wa katikati anayecheza kwa furaha...
Leo wakati nawaza kuhusu vipindi kadhaa vya television Tz nikajikuta napata aidia ya kipindi kizuri sana ambacho naamini kikisimamiwa vizuri basi channel husika itatazamwa sana.
Lakini nataka hili wazo niliuze kwa mmiliki wa TV, channel au media yoyote ambayo inarusha Maudhui kwa Kiswahili...
Wadau naombeni ushauri
Nimepata wazo la kumfungulia duka la urembo mke wangu ila nataka akajifunze kufanya makeup na kusuka location ya kujifunza = Kariakoo (kama nitaambiwa location nzuri zaid itapendeza) then akishakua vizuri ndo nimfungulie duka uku mtaani(Kigamboni). je, hii biashara iko...
Habari wazawa !
Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.