Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo.
Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa...
Wanabodi,
Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy.
Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta ambapo vile vile dukani hapo inatolewa huduma za kiufundi.
Vigezo
Awe mkazi wa Arusha Mjini.
Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta.
Awe anajua vizuri spea za laptop na desktop na jinsi ya kubadilisha.
Awe anajua kutoa kauli nzuri...
Leo nilikuwa ninatazama documentary mpya kabisa ya DW imetoka mwezi huu ambapo mwandishi wa habari na camera man wake walizama columbia wakiwa na jeshi la kupambana na biashara za dawa za kulevya kuchukua matukio.
Kule ndipo zao linalimwa milimani na maporini, halafu huko huko linavunwa na...
Habari zenu.
Nina vitabu kadhaa,nimeuza kwa online nchini,ninapenda Sasa niuze Amazon na sites zingine.
Hivyo naomba mwenye uzoefu, anipe darasa full kwa malipo
Simu: 0713039875
Kijana, Isaack Kawogo(24) aliyempora Askari magereza silaha aina ya SMG Usigani mkoani Iringa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi baada ya kumjeruhi kaka yake, Andres Kawogo(61) akimtuhumu kuuza mashamba na kushindwa kumtoa gerezani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamis Issah amesema tukio...
Naishauri Serikali yangu ambayo ina lengo kubwa la kuinua viwanda na biashara katika hasa suala hili la cement.
Naomba Serikali isiingilie bei na kuwapangia wauzaji wauze kwa bei fulani na bei fulani, hii naona kama inarudisha nyuma kidogo.
Acha watu wanunue kila mmoja auze kwa bei yake...
SERIKALI imewakumbusha wamiliki wa maduka ya dawa za binadamu kuacha kutoa dawa kwa mgonjwa ambaye ana cheti cha daktari/tabibu kwani kufanya hivyo ni kukiuka sheria zilizowekwa.
Pia imewaomba wananchi kuhakikisha watumia dawa kwa uangalifu na umakini zaidi ili kuweza kuepuka usugu wa vimelea...
Mliopo katika nafasi ya kuwashauri Wazee na wadosi washaurini wajifunze kuilinda dhamana waliyopewa.
Whatsapp imekuwa uchochoro wa kuvujisha Siri na mikakati mingi, naumia kuona baadhi ya magrouop ya wadosi yana members ambao siyo wahusika na wanafuatilia mijadala inayoendelea.
Naumia pale...
Natafuta wafanya biashara wanaotoa na kuuza bidhaa zao kwa mkopo. Namaanisha suppliers ambao wanaweza kukupa bidhaa au huduma na ukalipa kwa instalments labda kwa miezi2, 3, 6, 9 au 12.
Ningependelea zaidi kupata wale wanaohusika na
Vifaa vya ujenzi kama vifaa vya umeme, mabomba, tofali...
"Ikulu haiachwi ni “mwiko”, huwezi kuuza ‘mama mkwe’, tuliachiwa na Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume na chama chetu @ccm_tanzania hatuwezi waachia watu hawaeleweki" -Job Ndugai
Dunia inabadilika kila siku,binadamu amekua kiumbe hatari zaidi ingawa wenye upendo wapo na wabaya pia wapo.
Ulimwengu huu ni wa usawa na haki hivyo kila mmoja wetu anahaki ya kupata sawa sawa na wengine kulingana na nafasi alio nayo.
imekua rahisi kuonesha upendo kwa uwapendao kwa kuwatumia...
Leo IGP Simon Sirro katika taarifa yake kwenye kikao chake na NEC ameeleza umma kuwa kipo Chama cha Siasa kilichopanga kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020 kwa kupanga kuchoma vituo vya kuuza mafuta aina ya diesel na petrol nchini.
Kwa kuzingatia cheo alicho nacho kwa nchi, hizi mi tuhuma...
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavojieleza.
Mimi nataka kuingia mwenye biashara ya vitenge niwe nafata mzigo Kariakoo then naenda kuuza mikoani. Kwa ambaye anauzoefu kuhusu biashara anambie challenges za hii biashara.
Hata kama ni kusema uongo basi na uongo wenyewe uwe na ushawishi kidogo.
Kauli kama hizi zinaonyesha kwamba Jpm hana hoja, lakini pia amewadharau wapiga kura.
Kwanini asijikite kuwaeleza atawafanyia nini waTz ktk miaka 5 inayokuja, na badala yake anashambulia wapinzani kwa hoja za uongo...
Wakuu kwa mtu yeyote mwenye ujuzi kuhusu biashara hii hasa samaki wa maji baridi huko Dodoma.
Soko lake vipi lina upinzani mkubwa?
Mimi niko Mbeya. Nawasilisha kwa salamu na shukrani kwenu!
WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJUA KUHUSU BIASHARA HII
MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA YA SAMAKI...
Biashara ya ngono imekuwa moja ya biashara kongwe tangu enzi na enzi duniani.
Tanzania tumezoea kuona biashara hii ikifanyika kwenye makasino,bar,club,kambi za uvuvi na maeneo mbalimbali ya mji.
Katika eneo la bahari ya Hindi sasa biashara hii imekuwa ikifanyika kati ya wafanyakazi wa meli...
Jana niliombwa na leo nimekubali rasmi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo. Huu ni wakati muafaka kwangu wa kushiriki katika mazungumzo na vyama vingine kama CHADEMA ili tusimamishe "KISIKI CHA MPINGO" kimoja!.
=======
WASIFU...
Hii nchi tunapambana sio mchezo, shukrani za dhati ziwafikie wanaotafuta haya masoko maana hali inazidi kunoga kwa wakulima wetu.
Kenyan avocado exports hit a record high in the first half of 2020 with more than 58,400 tonnes sold to 42 countries, thanks to the Covid-19 pandemic.
Data from the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.