Waziri wa Sheria wa Sudan, Nasredeen Abdulbari amesema nchi hiyo itazifuta Sheria zote ambazo zinakiuka Haki za Binadamu
Sudan imetangaza mabadiliko mbalimbali ikiwemo kufuta Sheria ya Uasi na adhabu ya kucharazwa viboko. Pia, wananchi wasio Waislamu wameruhusiwa kunywa, kuagiza na kuuza vilevi...