Habarini za majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nahitaji kijana muaminifu na mzoefu wa jiko la kuuza chipsi, mishkaki, samaki n.k, kwa hapa Dar es Salaam.
Aliye serious anicheki PM tafadhali.
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro amesema mara baada ya Serikali kutoa muongozo wa bei elekezi ya sukari uongozi wa Wilaya ukafanya vikao kwa ajili ya kutoa mwelekeo.
Amesema “Kwanza ilikuwa kupata orodha ya watu...
Anahitajika kijana wa kiume ili auze pharmacy mwenye leseni au kama hana boss anaweza kumlipia na watakatana kwa salary
Duka lipo Lindi mjini, Kijana huyo atapatiwa sehemu ya kulala ambayo chumba na sebule
Umeme na maji vinapatikana na vinalipiwa na boss
Kwa mawasiliano zaidi piga +255 627...
Habari wadau.
Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu.
Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela.
Africa tunafanana tabia. Kwenye swala...
Mr. NICE ALIWIKA sana lakini anaonekana ni Mzee wa maneno ya kujisifia sana, kumekuwa na takwimu zisizo eleweka za mauzo ya kazi za wasanii hapo zamani. Huku Mr. Nice akitamba kwamba yeye aliuza nakala milioni 1.7 na aliemfuatia alikuwa around laki 380,000/= wakati huo huo tunaambiwa na Feruzi...
Habari zenu wadau?
Nilikuwa kwenye process za ujenzi ila kwa bahati mbaya huu mwaka sijauanza vizuri na kiukweli sioni dalili za kuendelea na ujenzi hivi karibuni naona nikiendelea kukaa na hizi cement kwa muda mrefu zaidi kuna uwezekano zikaganda nimeamua kuziuza ili nipunguze/niziuze hasara...
Habari wadau
Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi.
Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje?
Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula...
Tito and Amanda Watts mtu na mkewe, walikamatwa mwishoni mwa wiki kwa kuuza ''ticket za dhahabu za kwenda mbinguni'' kwa mamia ya watu. Wanandani hawa, waliokuwa wanauza tiketi hizo kwa dola za kimarekani 99.99 kwa kila tiketi, huku wakiwaambia wanunuaji kuwa zilikuwa zimetengenezwa kwa dhahabu...
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50, Kanu Mugwere, ameshambuliwa na watoto wake wakipinga uamuzi wake wa kutaka kuuza ardhi ya familia kwa shilingi milioni 1.5. Kulingana na taarifa, Mugwere alikuwa akilenga kutumia fedha hizo kugharamia matibabu ya mtoto wake mmoja mwenye ugonjwa wa akili...
Wasaalamu wakuu?
Najua unajiuliza ni kivipi nchini uingereza kuwe na mnada wa kuuza Mke?! Linawezekana vipi?
Tulia Leo nikupe historia hii.
Katika utawala wa Victorian malkia, nchini uingereza walikuwa wanafanya vitu kwa njia ya ajabu na ya moja kwa moja. Kabla ya talaka kuwa kisheria, njia...
Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa.
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe(Mb) amepiga marufuku kwa wakulima kuuza mazao kwa kutumia lumbesa.
Kigahe amepiga marufuku hiyo kwa wakulima na wafanyabiashara desemba 20,2023 wakati wa ziara...
Nilinunua gari mwaka 2008.
Nilibahatika kupata msamaha wa Serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo..
Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa.
Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008?
Je sheria inaruhusu kuliuza?
Wasichana wawili wa kuuza duka, wanahitajika:
Waombaji wawe na sifa zifuatazo:
1.Wawe wasichana wa umri wa kuanzia miaka 19 mpaka 23
2.Wawe na elimu ya Kidato cha nne
3.Wasiwe na familia/kuolewa wasiwe na mtoto/watoto.
4.Wawe na uzoefu wa kuuza duka, na kufanya miamala ya kifedha(uwakala)...
Kutokana na matukio yanayofanywa na baadhi ya askari wa jeshi la polisi la kuwanyang'anya kwa nguvu raia mali zao na kuwaua wengine ili kupoteza ushahidi Kama ilivyotokea huko Mtwara,Dar na kwingineko , bado jeshi la polisi linawataka wafanyabiashara kupewa escort ya jeshi la polisi
Je huyu...
Habari.
Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka.
Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata ikiwa taarifa za upimaji wa ardhi zilichochukuliwa ni zangu?
Habari wadau.
Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe.
Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida.
Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia.
Hiyo biashara imejigawa pande...
Inahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips.
Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza?
Unatakiwa uwe na nini na nini?
Na ice cream zinazobaki...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza?
Unatakiwa uwe na nini na nini?
Na ice cream zinazobaki...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza?
Unatakiwa uwe na nini na nini?
Na ice cream zinazobaki...