Mwaka 1969 na Mwaka 1970 Dare es salaam Young Africans iliweka REKODI ya kuwa timu ya kwanza kucheza robo fainali mara mbili mfululizo yaani convectively 69 na 70 mara zote hizo alikutana na Asante Kotoko ya Ghana. Simba katika papatu papatu zake za robo fainali ambazo nyingi ni za msimu wa...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha Ruvuma kutoka na Mkandarasi huyo kushindwa kukamilisha jengo hilo kwa wakati.
Naibu Waziri David Mwakiposa Kihenzile...
Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimae Misri imetoa tamko kwamba iwapo Israel itashambulia eneo la Rafah basi itafuta mkataba wake wa muda mrefu uliotiwa saini baina yao.
Mkataba huo uliotiwa saini mwaka 1979 baina ya rais Anwar Saadat wa Misri na waziri mkuu wa Israel wa wakati huo Menakhen...
https://www.youtube.com/watch?v=GhjjJPkjhEQ
Lambart Stanislaus mtangazaji wa Dar24 Media akiwa Mombasa Zanzibar alimuhoji Mzee Muchano Hamis Ally kuhusu Sakata la yeye kufungwa kila maadhimisho sikuu za Mapinduzi zinapokaribia.
Lambart: Tuambie hasa wewe ni nani tangu enzi zile za Afro Shiraz...
Ukweli usiopingika....!
Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana.
lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika.
Pamoja na...
Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024.
Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata...
Wanajamvi salaams
Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara?
Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote.
Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa...
Ili kuvunja poverty circle tuliyo nayo ni muda sasa kuanzisha na kuzingatia miradi au biashara za kifamilia.
Tujifunze kwa hawa ndugu zetu watu weupe.
Tusione ufahari mradi, kilimo au biashara kufahamiwa na mtu mmoja tu kwenye familia akifa yeye na yenyewe inakufa naye unabaki mgogoro wa mali...
Tume ya Utangazaji imeitaka WASAFI FM Radio kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya leseni kwa kuidanganya Tume juu ya Studio zao za Unguja kutotumika kwa vipindi vya aina yoyote kwa karibu miezi mitatu sasa
Tume imeitoza ZBC Faini Tsh. Milioni 1 kwa kipindi cha MICHAPO kuonyesha...
Nyimbo za bongo fleva, kwa asilimia 96% ni matusi, chache ni matusi ya mafumbo lakini mafumbo ya wazi na za mapenzi, zile zenye maadili za kina Afande Sele, na wengine hazipendwi, za matusi zinaimbika na pia zina amsha hisia hivyo hupendwa , ndicho kitu naibu waziri ameona Watanzania wanakitaka...
Wafanyabiashara watano huko Accra wamekamatwa na polisi kwa kushindwa kujiandikisha kwenye Tume ya Ulinzi wa Data (DPC) na kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data.
Wafanyabiashara hao ni wawakilishi wa CareFlight Ghana, kampuni inayotoa huduma za kliniki na ambulensi, Embassy Gardens, kituo cha...
Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu.
Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani.
Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua...
Nimefurahi kusikia kuwa Tanzania imeingia maelewano na kufuta kesi ICSID na kampuni ya Winshear Gold Corp. Kesi hii ilitokana na Tanzania kuchukua eneo lao bila kuwalipa fidia. Zipo kesi nyingi za namna hii- siyo fedheha , sisi kama taifa tukiamua kuondoa kesi na kutafuta namna ya kulipa fidia...
Ni miaka ya nyuma sana, Wazungu walikaa chini na kugundua michezo mbalimbali ambayo ingewafanya kuinjoi maisha, kutengeneza pesa na kupata vitu vingine, hapo ndipo walipogundua mchezo wa kikapu (Basketball).
Ulikuwa mchezo mzuri tu, haukuwa ukipendwa sana, walikuwa wanacheza Wazungu tu...
Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa)
Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima.
Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke.
Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo...
Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo,
Kwa mara nyingine Mama...
Nimetoka kwenye mitandao ya wanawake huko njkiwa natumia fake id kuna hawa wanawake ambao wanaingia kwa lengo la mali tu, unamuoa mnakaa miaka mitano huyooo, ndukii !! wapo wanaojutia maamuzi waliyofanya baada ya muda kwenda
Mbaya zaidi umri umeenda hata soko la kuolewa linakuwa limeshuka...
Tuwe wakweli hakuna kinachouma kama kulipa kodi na unalipa huku unajua kabisa pesa hizi haziendi kuleta maendeleo ya nchi, wanaenda kunufaika familia flani ukibisha hili soma ripoti ya CAG na angalia kinachoendelea TANESCO na sisi tunaofanya biashara za mazao huwa tunapita vijijini utakubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.