WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA.
"Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu...
Habari wana jamvi.
Nimeona watu mbalimbali wakifanya matukio yasiyo ya kawaida lengo ni kuweka records au kuvunja records za watangulizi.
Je, hawa Guinness World Records wanawalipa hao wanaotokea kuweka au kuvunja records. Wanigeria naona wanapambana sana.
Kwakweli kwa tamaduni zetu hili suala limekuwa likifumbiwa macho na la kukwepa, ila angalau zamani tunapobalehe wavulana tulienda jandoni na dada zetu walienda kufundwa unyango, kwa sasa wavulana na wasichana wanakuzwa peku peku bila hizi elimu muhimu, ni jambo hatari sana.
Binafsi nakumbuka...
HIli suala la Mkataba wa Loliondo halijaongelewa tu na wananchi au na wamasai tu, kuna tuhuma nyingi, zingine hatujui kama ni za kweli au za uongo. mara tuambiwe ukiwa pale Loliondo network ya simu ni ya uarabuni sio ya kibongo, mara tuambiwe kuna uwanja wa ndege kule madege huwa yanatua na...
Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe.
Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne...
Afrika kweli nimeamini tunanyonywa sana, wenye nchi yao wameunga mkono mapinduzi na hawamtaki rais aliepinduliwa. Kwanini nchi nyingine zipangie wananchi hao kiongozi anaewafaa? Kuna nini ndani yake? Ufaransa iko tayari kuisaidi Muungano wa kijeshi wa Ecowas kumrudisha rais, kwanini?
Kumbe...
Alisimamishwa uwakiishi na uchaguzi mdogo umitishwa.
Kosa lake ni kuhatarisha maisha ya watu kwa kwenda kwenye makundi ya watu akiwa na onfirmed covid-19 test.
Akiwa anasubiri matokeo ya kipimo, alikwenda Kanisani na kusoma somo. Baadaye alikwenda kwenye kilabu cha pombe. Siku iliyofuata...
Kwa mujibu wa Kanuni za Kanisa la Waadventista Wasabato, yapo mambo 13 ambayo ikibainika bila shaka kuwa umeyafanya, adhabu yake ni KUFUTWA USHIRIKA au kupewa karipio ( inategemea na situation).
Kitendo cha KUVUNJA SABATO ni miongoni mwa mambo hayo. Kanisa la Waadventista Wasabato linaamini...
Kwa mujibu wa AFP, Klabu ya Paris Saint-German imeruhusu Al Hilal ifanye mazungumzo na mshambuliaji Kylian Mbappe baada ya kuweka mezani dau hilo ikiwa ni siku chache zimepita tangu itume barua ya kuhitaji saini ya nyota huyo.
Mbappe aliyebakiza mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia PSG, amedaiwa...
Wakuu, naona kama Watu wengi pamoja na Taasisi ya MOI wamejielekeza na kutupia lawama upande mmoja wa Mgonjwa aliyeonekana akimbusu mpenzi wake Wodini. Kimsingi hakuna kosa lolote alilofanya pale, na sidhani kama kuna sheria inazuia jambo hilo. Labda kama aliyefanya naye kitendo kile ni mtoa...
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amevunja ndoa ya kinyemela ya kimila iliyokuwa imefungwa baina ya "Muddy Muuza Urembo" wa Tunduru Mjini na Binti aliyechaguliwa kujiunga na elimu ya Kidato cha Tano katika Shule ya Wasichana ya Masasi.
DC Mtatiro ameongoza vyombo vya usalama kuwakamata...
Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa.
Utafiti wa...
Na kama kuna kanisa linavunja ndoa nje ya hizo sababu basi ni wazi hawaheshimu dini yao.
Huko mahakamani kumekuwa kimbilio la kwaristo wengi kuvunja ndoa kwa sababu zingine kabisa nje ya hizo mbili.
- Mke anamnyima mume unyumba mwaka, Mwanaume rijali viungo vyake vimeumbwa na Mwenyezi Mungu...
Habarini wakuu!
Nimeleta suala hili kwenu wataalamu wa sheria ili mnisaidie.
Nafanya kazi kampuni fulani ambayo baada ya tamko la serikali kuhusu kuongezewa mishahara kwa sekta binafsi, kampuni imeshindwa kumudu hilo ongezeko la mishahara.
Mwajiri alichokisema ni kwamba yeye kashindwa kumudu...
Msanii Cheedy hivi karibuni Konde Kang walivunja mkataba nae ikalazimika imlipe million 10 kama sehemu ya kuvunja mkataba.
Wakati akihojiwa na East Africa Radio, Cheedy amefunguka kuwa; "Mkataba waliotengeneza Konde Gang hauendani na uwekezaji wanaouweka kwa sisi wasanii. Haiwezekani uweke...
Rais umefanya mema na mazuri kupitia uongozi wako. Mungu mtakatifu ana kusudi la kukupa nafasi kuu ktk nchi yetu ktk mazingira uliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa wewe kutaka Bali neema tu.
Wengi sana walijitokeza (Watangaza nia)ili kupewa kijiti cha kupeperusha bendera...
Akizungumza kutoka Berlin Ujerumani, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa Masharti ya Mkataba huo yanaonesha kuwa endapo kutakuwa na ulazima wa kuvunja Mkataba itabidi uamuzi utolewe na Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa.
Amesema DP World wanataka kupata haki ya...
Real Madrid na Eden Hazard wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa Mchezaji huyo kuanzia Juni 30, 2023 huku akiwa amebakiwa na mwaka mmoja
Hazard aliyejiunga Madrid kutoka Chelsea kwa ada ya Pauni Milioni 150, amekuwa akipata majeraha ya mara kwa mara yaliyomfanya kutofikia kiwango chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.