Kwa waislam wengi mambo ya kuvunja ndoa yanamalizwa kimya kimya bila hata mahakama kuhusika, wapo wanawake wanaoenda mahakamani kudai haki za mali lakini ni wachache.
Kwenye ukristo shughuli ipo tofauti, ndoa hadi inavunjika hapo ni kwamba mahakama imehusika na imeshatoa hati ya ndoa...
Simba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana. Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi lakini hilo sio kubwa sana.
Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) akiomba iuvunje mkataba wake na Simba kwa kile anachosema haoni kama anaweza kupata nafasi ya kucheza...
Mange Kimambi anaweza kuishtakiwa kwa kuvunja haki za binadamu ikwemo udhalilishaji, ndio maana Instagram waliondoa account yake kwa kosa la kudhalilisha binadamu.
Biashara ya kuuza video mtandaoni ni ngumu kwasababu Watumiaji wanaweza kuvujisha kwa kutumia simu nyingine kurekodi video hiyo...
Habarini Wana JF..
Ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A YANGA BINGWA.
Sasa story iko hivi..
Juzi nilisafiri kwenda Mbeya (hata navyoandika huu Uzi nipo Tunduma@Songwe) kufatilia bidhaa fulani hivi.
Safari yangu ilianzia Morogoro.
Nilivyopanda basi la NEW FORCE ndani ya basi nikakutana na baba...
Naona mashabiki wanachanganya mambo hapa juu ya suala la manzoki, Ukweli ni kwamba yanga wamekubali kuvunja mkataba wa manzoki na kulipa pesa ambayo vipers wanaitaka na hilo limejiri baada ya makamu wa Rais wa yanga kufanya mazungumzo na uongozi wa vipers pamoja na wakala wa mchezaji husika...
Kama pombe tuijuavyo, inaweza kumfanya mtu ajinyee (mnisamehe kwa luga kali ila imebidi), atapike, azimie (kuzima), kuropoka, kushindwa kujitambua kabisa, hupunguza umakini (rejea mheshimiwa Kitwanga), n.k. licha ya haya yote lakini pombe hii ni halali.
Ni utumwa wa fikra huu, tulirithishwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22) Mkerewe, Binti wa kazi za ndani na kuuficha mwili huo katika stoo ya vifaa vya ujenzi katika nyumba ya...
Watu wa Soka,
Taarifa iwafikie kuwa Mshambuliaji wetu Habib Haji Kyombo yuko huru kujiunga na timu yoyote baada ya kuamua kuvunja mkataba na timu yetu.
Kila kitu kimeenda sawa na kupitia yeye tunatarajia kujenga mahusiano imara na klabu atakayoenda.
Aidha, tutatoa taarifa zaidi kuhusu...
Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.
Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na...
Taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
Kufuatia kikao cha ujirani mwema cha tarehe 18 Machi 2022 ndani ya Kanda No. 2 inayohusisha mikoa ya Kipolisi Ilala, Temeke, Kinondoni, Pwani na Rufuji, pamoja na mambo mengine Makamanda wa Mikoa hiyo walikubaliana kufanya Operesheni...
Msanii wa kimataifa Rayvanny anaeiwakilisha Tanzania kwenye matamasha makubwa ya kimataifa kwa sasa.
Ameendelea kuonyesha nguvu yake kubwa ya kuuza muziki wake mtandaoni baada ya kufikisha streams million 100 kwenye mtandao wa boomplay.
Anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo...
Sina mashaka na uzalendo wa Tundu Lissu kwa Taifa. Kinachomponza ni kuwaambia watu tusikombe mboga ili tushibe wote. Kuna watu hawataki kuambiwa usikombe mboga, wanachofurahia ni wao wakombe peke Yao wengine mle ugali kwa kuchovya tongue au mle bilà mboga kabisa.
Tundu Lissu aliwaonya watu...
Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia...
Machi 03, 2022 ni Siku ya Usikivu Duniani ambapo inaelezwa takriban Watu Bilioni 1.5 Duniani kote wanaishi na tatizo la usikivu. Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wanasema idadi hii inaweza kuongezeka hadi Bilioni 2.5 kufikia Mwaka 2030
Inaelezwa, Mamilioni ya Vijana wapo hatarini...
Home shoping center,silent ocean ,GSM ni wahuni waliivamia mpira ,famikia yao wanazi wa simba ila wanafadhili yanga kimaslahi tu
Baada ya uhuni uliofeli na kuepuka aibu wiki hii ,wakawatuma rafiki wa kabwili bwana manara na bumbuli ili watutoe kwenye reli,
Walipeni timu 15 pesa zao...
Andiko la Ali Kamwe
1. Mechi zote za nyumbani zinazoihusisha Simba zimekuwa zikichezwa bila ya nembo ya GSM kwenye mbao za matangazo hii ni kunyume na kifungu namba 4.1 na 4.8 cha makubaliano ya udhamini
2. GSM kwa makusudi imenyimwa haki ya kuonekana kwenye bango la mandhari la wadhamini kwa...
Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku
====
Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa...
Kutokana na yanayoendelea hapa nchini.
Ipo haja ya Rais kuvunja Serikali nzima na kuunda mpya kabisa.
Kutokuaminiana na hujuma kumetamalaki.
Nazungumzia Kutoka kwa PM kushuka chini.
Avunje baraza lote la mawaziri.
Ateue wapya kabisa.
Amuandikie barua Spika kumuomba ajiuzulu kwa maslahi ya...
Kusema ukweli sioni sababu ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwepo huku pembezoni mwa mji kwenye vituo vya daladala kama vile Banana, Mombasa, Gongo la mboto, Mbagala, Mbezi etc.
Huku pembezoni walikuwa wanaathiri nini mpaka mumewaondoa pia? Kuwaondoa katikati ya mji kama Posta na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.