Habari za sahizi keyboard masters..
Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka wa pili semester ya kwanza.
Kipindi chote hicho sikuwahi kugundua kuwa anatumia sigara wala bangi...