nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Tulifikia sehemu nikamwambia apaki gari upenuni mwa barabara, nikashuka kwenda kununua makubwa.
Yeye naye akashuka, sijui kupunga upepo au ku-scan anga
Ghafla nageuka naiona gari inatembea yenyewe,
Alienda mbele ya gari akaweka mikono akaanza kusukumana nayo, kakaza uso, mishipa imemtoka, viatu vinaburuzika.
Gari ilikuwa inaendelea kumove bila dalili yoyote ya kupunguza mwendo, utafkiri hakuna chochote kilicho mbele
Watu wakawa wanamshangaa, wengine vicheko, wafyatua matofali kwa mbali kidogo walikuwa wanapiga miluzi, wengine wakaanza kuelekeza simu zao kwake wamrekodi.
Nilichomoka dukani kama mshale, nikawahi kufungua mlango wangu wa abiria, fasta nikavuta handbrake.
Alikuwa ameshuka kaiacha gari kwenye gia ya mwendo
Kwenye gari hatukuongelea sana hilo swala lakini nimebaki na mawazo mengi sana, Nikawaza sijui ingekuwaje kama mlango usingefunguka, muda huu tungekuwa tunatrend.
Nahisi kaanza kuvuta Bangi