kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Leo katika historia: Undani wa hayati Abeid Amani Karume (1905 - 1972)

    Leo katika historia April 7: Undani wa hayati abeid amani karume kuzaliwa mpaka kifo Bwana Abeid Amani Karume muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa katika kitongoji cha Pongwe, Mudiria ya Mwera kisiwani Unguja tarehe 4 Agosti 1905. Karume ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya...
  2. BAKIIF Islamic

    Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570. Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa...
  3. Ntiyakama

    SoC01 Namna ya kusherehekea siku ya kuzaliwa iletayo hamasa mpya ya maisha

    Baada ya kukumbuka kuwa kesho ni siku yake ya kuzaliwa; alikopa pesa, akafanya sherehe (birthday party) na baada ya sherehe hakuna alichowaza kingine zaidi ya namna ya atakavyolipa deni! Anayekupenda hakumwagii maji, atakumwagia upendo ulio sheheni baraka, shauri jema, makanyo, maelekezo...
  4. comte

    Hadithi ya Mkenya huyu inatupa somo kubwa-wezi waliumbwa na kuzaliwa

    An undated file image of former bank manager Ben Mwangi This is the case of one Ben Mwangi, whose story can only be visualised in a movie-style act. Once a very successful bank manager in the 1970s and having amassed wealth over years, Mwangi would later lead a life of solitude and eventually...
  5. M

    Tarehe ya kuzaliwa Freeman Mbowe ni siasa pia?

    Muda wote tulisheherekea Uhuru wa Tanganyika tarehe sawa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa ndiyo huwa siku ya kuzaliwa. Naona leo Familia imemuwish mapema sana kabla ya 9 December kufika kupita kipande cha Gazeti? Nani aliudanganya UMMA kuwa freeman kazaliwa 9 December na Si tarehe 14 September ya...
  6. T

    Nafasi za kazi Polisi, qualification “Raia wa Kuzaliwa” Vipi mawaziri wenye uraia wa kuomba gazetini?

    Juzi nafasi za kazi nyeti ya polisi zimetoka. Sharti la kwanza la kuomba kazi ni uwe raia wa kuzaliwa wa Tanzania. Kumbe kuna tofauti ya uzito wa uraia wa Tanzania, sijui imeandikwa wapi kisheria. Lakini kama ni suala la “busara” na sio sheria hivi waziri mwenye siri za cabinet sio muhimu...
  7. La Quica

    Kuhusu Cheti cha Kuzaliwa

    Wakuu cheti cha kuzaliwa siku hizi ndio kipo hivi au hiki ni provisional tu? Hapa nimemwambia manzi wangu anitumie cheti cha kuzaliwa cha mwanae ili nifuatilie masuala ya bima ya afya akanitumia kinachofanana na hiki. Sasa sijui kama hiki ndio cha siku hizi au inakuwaje. Naomba mwenye...
  8. Ferruccio Lamborghini

    Siku ya kuzaliwa yenye furaha kwako Eric Shigongo

    Leo ni siku muhimu katika historia ya Maisha yangu, ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alinileta duniani kupitia wazazi wangu Bi. Asteria Kapela na Mzee James Bukumbi (wote marehemu). Napenda kumshurku Mungu kwa kuendelea kunipa uhai, afya, nguvu na maarifa ili kuendelea kutimiza dhumuni lake la...
  9. FRANCIS DA DON

    Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

    Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa. Sasa je, tungepima za Yesu...
  10. P

    Chuo cha Siasa Kivukoni ni muda wa kuzaliwa upya, hawa ma-DC na ma-RC ni matokeo ya kutopigwa msasa kiuongozi

    Miaka ile ya awamu ya kwanza kulikuwa na chuo cha kufundisha viongozi masuala yote muhimu ya kiuongozi. Kilikuwepo pale kivukoni. Kiliwapika viongozi na matendo yao yakaonekana baada ya kupewa ukuu wa wilaya na ukuu wa mikoa. Walikuwa ni viongozi wenye maadili yasiyohojika. Taratibu muda...
  11. ladyfurahia

    Kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

    Habari Ni furaha iliyoje kuiona siku muhimu kama leo, Nawashukuru wazazi wangu kunilea mpaka hapa nilipo Mungu awabariki na kuwapa siku nyingi za uhai wenu na awape afya njema. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku hii muhimu ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu furahi pamoja nami siku hii...
  12. Sky Eclat

    Kuzaliwa masikini inatokea lakini kufa masikini ni chaguo

  13. U

    Leo ni siku ya Kuzaliwa Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola

    Happy birthday Selemani Matola
  14. Kurzweil

    Kuzaliwa Njiti kunaweza kumuacha Mtoto na ulemavu

    Inakadiriwa kuwa takriban Watoto Milioni 15 wanazaliwa kabla ya Wakati kila mwaka Duniani kote Watoto Milioni 1 waliozaliwa kabla ya Wakati au wakiwa na uzito wa chini hufariki Dunia kwa sababu mbalimbali Watoto wengi huishi lakini wapo ambao wanapata changamoto ya kuwa na ulemavu wa maisha...
  15. Sky Eclat

    Leo ni siku ya kuzaliwa Mh. Tundu Antipas Lissu

    Leo amezaliwa Mh. Tundu Lissu tuungane kumtakia maisha marefu, comment yeye atasoma Coment yako.
  16. J

    Kuzaliwa au kujifungua mtoto njiti sio laana au mkosi

    Takwimu zinaonesha kuwa kila mwaka watoto milioni 15 wanazaliwa njiti, yaani ujauzito ukiwa haujatimiza wiki 37 wakiwa na uzito mdogo Jamii inapaswa kujua #WatotoNjiti wanauwezo wa kukua kama Watoto wengine hivyo imani potofu hazina budi kukoma Watoto Njiti wanahitaji uangalizi maalumu kwani...
  17. B

    Prof. Kabudi: Imani, uelewa na msimamo wako kuhusu Utumishi wa Umma ni nguzo kuu ya kuzaliwa Taifa mfu

    Nimemsikiliza Profesa Kabudi akieleza nini Mtumishi wa Umma anapaswa kufanya, baadhi ya Mambo anayosisitiza ni pamoja na mtumishi wa Umma: 1. Kutii (obey) mamlaka iliyopo juu yake. 2. Kama ataki kuendana na mamlaka iliyopo juu yake aache kazi. Katika karne ya sasa utii wa mamlaka za...
  18. Sky Eclat

    Vipaji vingine ni vya kuzaliwa navyo

    Walimu shuleni wanapata tabu kumbe matatizo yalianzia mbali.
  19. U

    Jasusi Mbobezi na Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani, Mike Pompeo leo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa

    Alizaliwa Disemba 30, 1963 Amehudumu akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani (CIA) na sasa ndiye Waziri wa Mambo Ya Nje Wa Marekani Pamoja na kupokea taarifa nyingi kutoka nchi mbalimbali, Mike Pompeo anasifika kwa umakini mkubwa kwenye maamuzi yake ambayo huzingatia uchunguzi wa kina! Kwa...
  20. S

    Tunaanza kutengeneza kizazi cha watoto au watanzania wasiojua vizuri kiswahili kama ilivyo kwa wahindi licha ya kuzaliwa na kukulia humu nchini

    Kila kitu kina faida na hasara zake.Moja ya faida ya hizi shule za kisasa ni watoto kujua lugha ya malaika angali wakiwa na umri mdogo na kuwa fluent tofauti na wale wanaosoma shule za St. Kayumba. Hata hivyo, kuna kasoro naiona na ambayo baada ya muda, tutakuja kuiona huko mbele na hii si...
Back
Top Bottom