Naangalia mitandao na hasa Twitter imejaa salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa rais Samia. Hadi Wakenya wanatuma salamu za hongera na pongezi. Najiuliza ni kwa nini kiasi hiki hadi ndani ya serikali? Wana CCM wanashindana kutoa salamu. Huu ni unafiki ili waonekane.
Karibuni ni hawa hawa...
Unapopata mtoto ukiwa na umri mkubwa, kikubwa unachoweza kumpa ni busara ulizozikusanya kwa miaka mingi. Uwezekano wa kusherehekea mahafali yake ya elimu ya juu ni mdogo sana.
David Foster mwenye umri wa miaka 73 akiwa na mke wake wa ndoa ya tatu na mtoto wao.
Watoto wa uzeeni wana muda...
Daaaah nakumbuka wakati nipo mdogo nilikuwa nazichapa haswa na mdogo wangu, ila nilokuwa ni kama napigana kwa tahadhari situmii nguvu zote.
Yaani dogo aliniona mie kama boya tu, saa ikafika siku nikaamua kutumia full force yani nilimshushia mzigo wenyewe bila kujivunga ndio heshima ikawepo...
Habarini,
Wanajamii kuna hili suala la wanawake kuwatafutia watoto zao cheti cha kuzaliwa zaidi ya kimoja. Katika vyeti hivyo unaweza kuta vipo vitatu na kila kimoja kina jina la baba tofauti kabisa.
Hii ni kwa sababu ya wao kuendelea kupata hela ya matunzo ya mtoto, unaweza kuta mtoto ana...
Huko Iringa Mahakama ya wilaya ya Kilolo imemhukumu Frank Kigomba miaka 30 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi laki 5 kwa kosa la kumbaka dada yake wa kuzaliwa kwa maelekezo ya mganga wa kienyeji ili awe tajiri.
Matukio ya kubaka, kuua na kutafta utajiri sasa yamehama kutoka kanda ya ziwa na...
Jamii nyingi za Kiafrika zinasumbuliwa na tatizo ugonjwa wa akili kwasabab nyingi moja ikiwemo.
1. Ukosefu wa lishe bora: Ambapo watoto wanakosa lishe wakina ndani na nje baada ya kuzaliwa ambapo inapelekea kuwepo na changamoto nyingi zinazosababishwa na matatizo ya kukosekana kwa Afya ya Akili...
Aisee kwa hizi bata ninazokula huku abroad na maisha ya huku abroad daah sometime najilaumu kuzaliwa Tanzania sio kama nakufuru ila ndiyo uhalisia aisee
Mfano halisi kama bata langu nililokula qatar aisee sio poa nchi iko Well planned hamna longolongo kama hizo nchi zenu za kiAfika zimejaa siasa...
Wakuu habari za mchana!
Naamini huku katika jukwaa letu pendwa kuna watu wenye uweledi na ufahamu mkubwa, naomba mnijibu swali langu hili.
"Nini kinasababisha mtoto kuzaliwa na upofu? Je, kuna vitu fulani alivikosa wakati akiwa tumboni? Au mama alitumia vitu/dawa/vyakula/vinywaji ambavyo...
Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu.
Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele...
VIJANA TUNAWEKA AKILINI SANA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA KITANDANI TU ILA TUKUMBUKE MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA NJE YA KITANDA NI MAKUBWA NA YANAHITAJI MUDA MREFU ZAIDI KULIKO YA KITANDANI SABABU DAIMA TENDO LA NDOA LINA ATHARI ZA DAIMA KWENU NA KWA WATOTO WENU.
"Natamani nikipata mtoto...
Habari za humu!
Mimi ni kijana wa miaka 25, nimekuja kwenu niwaulize mimi kila nikimsemesha mwanamke tu basi ananitaka kimapenzi mpaka nashindwa kuelewa nini maana mpaka imekua kero wanapigana kisa.
Mimi situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia. Naombeni ushauri...
Chagua tarehe yako ya kuzaliwa kutoka 1 hadi 31
Nambari ambayo ni ya kwanza katika tarehe yako ya kuzaliwa inaashiria msingi, msingi wa kiakili wa utu na inaweza kutuambia kuhusu kile mtu hutoka katika uchaguzi wake. Mmoja anazungumza juu ya watu binafsi, wawili wanazungumza juu ya wanajamii...
Wasichana wengi hawawezi kubaki gizani kwa muda mrefu na wanataka kujua haraka iwezekanavyo wakati sherehe ya harusi iliyosubiriwa kwa muda mrefu itafanyika. Sayansi ya hesabu inaweza kusaidia na hili, ambayo inakuwezesha kujua tarehe ya harusi ya baadaye kwa tarehe ya kuzaliwa. Wasichana...
Ingawa ni utaratibu wa Magharibi kusherehekea simu ya kuzaliwa, taratibu nyingi tulizoona zinafaa tuliiga kutoka kwa Wakoloni wetu kuanzia Waarabu na hata Wazungu.
Siku ya kuzaliwa ni muhimu sana kwa mtoto, hii ni sherehe yake yeye binafsi. Tofauti na sikukuu za dini zinazojumuisha jamii...
Habarini wabobezi wa hili jukwaa, kuna binti wa shem wangu amesoma shule hadi f4 kutumia majina ya babu yake cause alilelewa na nyanya yk, cheti cha kuzaliwa kinasoma majina ya baba yke mzazi. Navyojua academic certificates kubadilika kwenda kwa jina la cheti cha kuzaliwa ni ngumu unless...
Habari za leo rafiki naitwa Jumanne Mwita,
Leo ni tarehe 06/06/2022 Kila ifikapo siku yangu ya kuzaliwa, huwa naandika moja ya makala kwa ajili yangu, kwa sasa nimetimiza miaka kadhaa ambayo kwangu mimi ni miaka mingi kidogo sihaba hapa nilipofikia pia namshukuru Mungu niko hai bado.
Miaka hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.