Leo ni siku iliyozaliwa TANU, tushereheke birthday ya chama pendwa na kongwe iliyozaa CCM.
CCM ni kama maji, usipoyanywa utayaoga. Leo hata Chadema hawajaenda maofisini wakisherekea kuzaliwa kwa chama hiki kilichoendesha Siasa za ukombozi Afrika. Nani alikuwa haijui code ya 7-7? Ndio hiyo, lift...
MKATABA WA KALE WA KIUCHUMI KATI YA ISRAEL NA LEBANON U SAWA NA MKATABA WA BANDARI KATI YA TANZANIA NA DUBAI?
Mkataba wa kwanza wa kimataifa kurekodiwa katika Biblia ni Mkataba wa kiuchumi baina ya Israeli na Lebanon uliosaniwa mwaka c. 950 BK (miaka 2973 iliyopita). Mkataba ule ulihusu Lebanon...
Nimepoteza cheti changu cha form four, kuzaliwa na cha form six
Wana JF, naomba mnishauri nitumie njia zipi kupata vyeti vyangu tena. Nimeshaenda police kutafuta loss report
Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika?
Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu.
Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
Ni nchi yenye uajabu wake!
Ni nchi yenye rsilimali zake nyingi, ila huwa hazitoi faida kwa wananchi!
Utasikia kiongozi akisema, hiki na kile, kimetutia hasara ya mabilioni kadhaa, tuwape wageni wakiendeshe!
Cha ajabu... hata hao wageni wakipewa! Nao hawaingizi faida! Kama sio ujasiri wa mtu...
Rafiki yangu mpendwa,
Leo ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwangu.
Tarehe 06/06 ndiyo siku ambayo nilizaliwa, hivyo leo tarehe 06/06/2023 nimetimiza miaka kadhaa ya kuwa hai hapa duniani.
Kwa miaka hiyo michache, nimejifunza mengi sana na pia nimekazana kuwa na mchango kwa wengine kadiri ya uwezo...
Nauliza je, utaratibu wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa ONLINE RITA kwa mwaka 2023 / 2024 umeanza au bado?
Nimejaribu ku-create account ili nianze mchakato wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa vya wateja na watu wangu wa karibu. Lakini hata hatua ya kwanza ku-create account...
Wakuu leo Mei 8, ni siku aliyozaliwa Rais wa Awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi. Mh. Mwinyi alizaliwa Mei 8, 1925, hivyo leo ametimiza miaka 98.
Tunamtakiwa Mzee Mwinyi heri na baraka kwa siku yake ya kuzaliwa.
Tarehe 25 Mwezi April ni kumbukizi ya Nabii Mkuu Mh Dokta GeorDavie kukumbuka siku yake ya kuzaliwa ambapo Maelfu ya waumini wa huduma ya Ngurumo ya Upako walisherekea kwa pamoja huku wageni kutoka nchi mbali mbali kutoka nchini Congo, South Africa, Kenya na maeneo mbali mbali ya pembezoni...
Leo Jumamosi inatimia miaka 111 tangu kuzaliwa kwa mwasisi wa Korea Kaskazini, Kim Il Sung.
Jana Ijumaa usiku, runinga ya serikali ya nchi hiyo ilionesha video ya bango lenye maneno “kiongozi wa milele” likipandishwa juu jijini Pyongyang. Wanawake waliovalia nguo za kitamaduni walionekana...
Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu!
Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika...
Wadau za saizi nipo hapa bed nimejilaza na shida zangu tu
Nikafikiri 97% ya shida zangu ninazopitia ni kwasababu sijatokea kwenye familia tajiri bali yenye hela
Nikawaza hivi wakina MO au Bakhresa watoto wao wanajisikiaje kuwa na wazazi kama hao 🤔 maana chapaaa money 💰🤑💵💸💷💶💷💸💵 inasoma vyedi...
Leo Machi 30, ni Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani, Mtayarishaji Mkubwa na Bora wa Muziki Tanzania.
Alianza kujihusisha na Muziki mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati akisoma International School of Tanganyika. Majani amehusika kwa kiasi kikubwa kujenga heshima ya...
Takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) zimeeleza vifo hivyo vinatokana na changamoto za kiafya au ulemavu unaohusiana na masuala ya uzazi.
Changamoto hizo za kiafya pia zimechangia vifo vya Watoto 170,000 wenye umri wa mwezi mmoja 1 hadi miaka mitano kwa mwaka.
============
An estimated 240,000...
Moja ya nyimbo zake zilizokonga wahenga ni ‘Two can play that game’.
Enzi hizo Janet Jackson alimpenda kweli Bobby na ni Whitney aliyebahatika kufunga ndoa na Bobby na walibarikiwa mtoto wa kike ambae sasa ni marehemu.
Hello mambo JF Crew!!
Hatari sana, wanawake first born imetokea sipatani nao kabisa mahusiano hayadumu nawapata kirahisi mno ila naishia kunyandua tunaachana wananikorofisha ujeuri, kibri na dharau nyingi, wanapenda kunyanduliwa hovyo hovyo hasa wenye majina E, A nikisikia herufi hizi nakata...
Kuna Jambo ambalo natamani tukumbushane leo, na Jambo lenyewe linaitwa MWANAMUME. Ikiwa ni mwanaume ama ni mzazi wa mtoto wa kiume si vema kupita bila kusoma huenda ukapata kitu, Karibu.
Nianze kwa kusema mwanaume ameumbwa tofauti sana na mwanamke, mwanaume ndiyo asili ya mwanamke na uzao...
"Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia neema ya kutimiza miaka 63. Nawashukuru nyote kwa salamu zenu nyingi za upendo katika siku hii. Ahsanteni sana kwa dua za siha njema, umri mrefu na utendaji bora, ninapoendelea na jukumu hili la kulitumikia Taifa letu kusonga mbele zaidi," Rais Samia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.