Baada ya kukumbuka kuwa kesho ni siku yake ya kuzaliwa; alikopa pesa, akafanya sherehe (birthday party) na baada ya sherehe hakuna alichowaza kingine zaidi ya namna ya atakavyolipa deni!
Anayekupenda hakumwagii maji, atakumwagia upendo ulio sheheni baraka, shauri jema, makanyo, maelekezo...