kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Namna ya kuzuia WhatsApp group kushow zimeingia SMS mpya

    Habari, Wadau naomba mwenye elimu ya kuzuia message zisionekane kwenye group maana nina group nyingi sana mpaka za kanisa lakini ni fujo nyingi sana nataka kuzuia popup kama kuna new message ili nisifungue nafanyeje au kufuta kabla kufunga au kublock nisipate message kwa group A au B. Msaada...
  2. JanguKamaJangu

    Dawa za Flagyl zatumika kiholela kuzuia, kutoa mimba

    Imebainika kuzuka kwa mbinu mpya haramu za utoaji mimba ambapo dawa zilizotengenezwa maalumu kutibu magonjwa ya aina fulani, ndizo zinazotumika kinyume kufanikisha vitendo hivyo. Hatua hiyo inakuja kutokana na baadhi ya maduka ya dawa hivi sasa kutaka vyeti vya daktari ili kuuza dawa za kutolea...
  3. L

    China yapata maendeleo katika kuzuia ueneaji wa jangwa

    Leo Juni 17 inatimia miaka 28 ya Kupambana na Kuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Kauli mbiu ya kimataifa ya siku hii ni “Kushirikiana Kupambana na Ukame na Kupata Maendeleo ya Pamoja”, na kauli mbiu ya siku hii nchini China ni “Kushirikiana Kupambana na Kuenea kwa Jangwa na Kujenga Jumuiya ya...
  4. GENTAMYCINE

    RPC wa Arusha hii nguvu unayoitumia kutafuta waliomuua Askari Ngorongoro kwanini hukuitumia mwanzoni kuzuia kuibuka kwa huo mzozo?

    Kwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa? Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Polisi Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika...
  5. Lanlady

    Ni wakati sasa kwa Serikali kuzuia uuzwaji wa mazao ya chakula nje ya nchi

    Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge. Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya. Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi. Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada...
  6. jingalao

    Tusimchomekee Rais, bado tunahitaji kuzuia wanyama wasisafirishwe

    Ni muhimu kuendelea kudhibiti kwa ukali(srtrict prohibition) juu ya kusafirisha wanyama nje ya nchi. Iwapo wanyama tulionao ni kivutio cha kipekee kinachowafanya watalii waje nchini basi hatuna budi kuzuia usafirishaji wa wanyama ili kuendekeza umuhimu wa watalii kuja na kuwaona. naweza...
  7. tutafikatu

    Serikali yazuia wanachama wa NHIF kwenda kuchukua dawa maduka ya nje kwa kufuta matumizi ya form 2c

    Kuna waraka umetolewa na Wizara ya Afya, ukitoa taarifa kwamba kuanzia tarehe 01 Juni 2022 hatua kwa hatua kutasitishwa matumizi ya form 2c. Form 2c ni fomu inayotumika na hospitali zinazohudumia wagonjwa wa NHIF kujaza dawa zisizokuwepo hospitali, ili mgonjwa au ndugu wa mgonjwa akachukue dawa...
  8. B

    Ni lini majasusi wa Tanzania wataanza kuzuia (prevent) uhalifu badala ya Sasa ambapo wanafichua maovu baada ya serikali/wananchi kupata hasara?

    Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria. Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Ni watu gani wanajaribu kuzuia mradi wetu wa Bomba la mafuta (EACOP)

    Naomba tujadili ndugu zangu. Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta. Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini. Huu mradi kwanini wanauzuia. Serikali yetu kwanini imekaa kimya juu ya hili. Ni wakati wasisi kujadili ni nani anasababisha huu mradi wetu...
  10. sky soldier

    Babu zetu waliwakataza wanawake kula mayai na nyama wakiwa na mimba kuzuia mtoto kuwa mkubwa, wengi wamekiuka hujifungua kwa upasuaji

    Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana. Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa...
  11. chiembe

    Baada ya Mbowe kuzuia Siasa za matusi, Lema, Lissu, Mdude, Maranja Masese, na vijana wengi wanaweza kufa kisiasa!

    Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema. Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili wapate uhalali kisiasa. Hii tabia ni sawa na udikteta, ila unajificha tu katika kutukana na kushambulia...
  12. JanguKamaJangu

    Daktari: Watumiaji wa dawa kuzuia hedhi hatarini kupata magonjwa ya MOYO

    Wataalam wa afya wametoa angalizo kwa wanawake wanaotumia dawa za kuzuia hedhi bila kuzingatia ushauri wa daktari kuwa wako hatarini kupata madhara, yakiwamo maradhi ya moyo. Daktari wa Magonjwa ya Kinamama Hospitali ya Rufani Mkoa wa Njombe, Shomari Masenga ametaja dawa hizo kuwa zimegawanyika...
  13. Nyankurungu2020

    Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

    Lazima mapema iwezekanavyo tuwe na katiba mpya ambayo itaweza kumdhibiti na kumuawajibisha rais anayetumia madaraka vibaya. Rais ambaye anaweza kugeuza ikulu ni mahala pa biashara na kutumia mwanya huo kushirikiana na wajanja wachache kujitajirisha huku wananchi wakibaki na umasikini mkubwa...
  14. JanguKamaJangu

    DRC yaanza kutoa chanjo ya Ebola baada ya wawili kufariki, 230 wakiambukizwa

    Mama aliye kwenye matibabu akitenganishwa na mtoto wake kutokana na kupata maambukizi ya Ebola Dozi 200 za chanjo ya Ebola zimepelekwa Nchini DR Congo na nyingine zinatarajiwa kupelekwa katika siku zijazo baada ya watu wawili kuripotiwa kufariki kwa ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO)...
  15. JanguKamaJangu

    Urusi yatishia kuzuia usambazaji wa gesi kwa mataifa mengine ya Ulaya

    Baada ya Urusi kusitisha usambazaji wa gesi kwa Nchi zaPoland na Bulgaria, sasa taifa hilo limesisitiza kuwa itafanya hivyo kwa mataifa mengine ya Ulaya ambayo hayatakubali kulipia gesi kwa fedha ya Urusi (rubles). Taarifa ya Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov amesema uamuzi wa Urusi wa...
  16. LUKAMA

    Vita vya Ukraine: Urusi yaharibu miundombinu ya reli kuzuia silaha za kigeni kuingia Ukraine

    Urusi iligonga miundombinu ya reli kote Ukraine siku ya Jumatatu kwa lengo la kuzuia usambazaji wa silaha za kigeni, huku Marekani ikitangaza kuwa itatoa silaha zaidi licha ya pingamizi la Moscow. Takriban watu watano waliuawa na 18 kujeruhiwa katika mashambulizi ya Urusi katika eneo la...
  17. Lanlady

    Kama tunaamini katika kusimamisha mvua, kwanini hatukuamini katika kusimamisha covid-19?

    Mambo ya imani siku zote hayapingiki. Inawezakana ni kweli kuna wenye uwezo wa kusimamisha mvua na pia wapo wanaoamini ktk kuondoa magonjwa kwa njia ya imani. Je, kumpinga mtu katika kile anachoamini ni sawa? Je, Watanzania wote wanaamini suala la kuzuia mvua isinyeshe? Natamani kupata majibu...
  18. KENZY

    Kambi za Jeshi Tanzania zina vizuizi vya kuzuia picha zipigwazo na satelite?

    Kwa sisi raia wa kawaida tumewekewa sheria kuwa haturuhusiwi kupiga picha kambi ya jeshi zaidi zile zenye taarifa muhimu za jeshi. Ndio sipingi na ni sahihi maana kwa kutumia picha tu adui anaweza kupata taarifa nyingi na ikawa ni angamizo kubwa. Hivi sasa tupo kwenye ulimwengu wa teknolojia...
  19. Lycaon pictus

    Jinsi ya kuzuia tatizo la kuharisha safarini

    Tatizo la kuharisha safarini linatatiza sana na pia huabisha. Shida hii husababishwa na sumu zilizotengenezwa na bakteria au virusi uliowameza kwenye msosi. Ni jinsi gani ya kujizuia. 1. Usile vyakula vichafu hasa usiku kabla ya safari. Wengi wanaopata shida ya kuharisha safarini si sababu ya...
  20. The Assassin

    Wanasayansi: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vina uhakika wa 99% kuzuia mimba

    Wanasayansi kutoka American Chemical Society huko nchini Marekani wamegundua ama wamefanikiwa kutengeneza dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume ambazo zina uhakika 99% kuzuia mimba. Wanasayansi hao wanatarajia kuanza majaribio kwa binadamu mwezi June 2022 na wana matumaini kua hili litafanikiwa...
Back
Top Bottom