Katika vita ya uvamizi inayoendelea kufanywa na Urusi nchini Ukraine ilifikiriwa na wengi ungekuwa uvamizi rahisi ambao ungedumu siku chache na Putin angetimiza malengo yake kwa gharama ndogo na kwa muda mfupi lakini uhalisia haujawa hivyo, jeshi la Urusi lilikouwa linaonekana kuwa imara sana...
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuchangisha $1bn (£759m) katika muda wa wiki moja kusaidia uzalishaji wa kilimo barani Afrika na kulinda bara la Afrika kutokana na uhaba wa chakula unaotokana na uvamizi unaoendelea wa Urusi nchini Ukraine.
Nchi nyingi za Kiafrika zinategemea...
Jumuiya ya Wanabenki wa Uswizi imetangaza kuwa raia wa Urusi wameweka kati ya Dola bilioni 160 - 213 nchini humo. Fedha hizo ni sawa na Tsh. Trilioni 372 – 495.
Mbali na #Uswizi kusifiwa kwa utunzaji wa taarifa za wateja Rais wa Nchi hiyo, Ignazio Cassis amesema watazuia fedha hizo za Rais...
Kuna vikundi vitatu vikubwa nchi za Ulaya na Marekani, ambavyo vimekuwa vikibweka sana kuzuia miradi mikubwa ya uzalishaji nishati mbadala kwa Ulaya na Marekani ambavyo vimesababisha uzalishaji wa nishati kwa nchi hizo upungue sana, hadi kuifanya Ulaya sasa kutegemea Nishati ya Russia kwa...
Zipo njia kuu mbili za kuzuia bei ya mafuta isipande sana ndani ya nchi.
1. Kuchukua mafuta yaliyonunuliwa kwa bei ndogo na kuhifadhiwa, mafuta hayo unayaingiza sokoni na kuyauza kwa bei za kawaida. Hichi ndicho wamefanya US. Kwa Tanzania hili ni haliwezekani hatuna kawaida ya kuhifadhi mafuta...
Wadau nina jambo hapa tuweke siasa kando tujadili maendeleo
Baada ya huu uzi hapa chini kutolewa
Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao
Inaelezwa kuwa kuna kigogo mmoja pande za kule kwenye kuvuka maji kule, Kigamboni anahaha kupiga simu...
Teknolojia zimetoa mchango mkubwa kwenye mapambano ya China dhidi ya janga la virusi, hasa kwenye kipindi ambacho inakuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.
Vyoo vya kisasa vinavyohamishika vimekuwa sifa maalumu ya mfumo wa mzunguko uliofungwa kwenye michezo hiyo...
Vidonge vinavyofahamika kama P2 au vidonge vya asubuhi ni miongoni mwa aina ya udhibiti wa kuzuia mimba.
Mtandao wa kliniki ya Mayo inafafanua kuhusu vidonge hivi;
Uzazi wa mpango wa dharura ni chaguo bora kwa kuzuia mimba baada ya kujamiiana bila kinga, lakini haifai kama njia zingine za...
Kuna jirani zangu wanapiga mziki kwa kutumia spika kubwa saana kila mwisho wa wiki. Naomba ushauri wenu kama kuna jinsi ya kufanya jambo la kuingilia/kuzuia makele ya mziki wao bila wao kujua..manake nimajribu kuongea nao hatuelewani....niliwahi kuambiwa kwamba kuna vifaa ukifunga vinaingiliana...
Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500.
Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kupata dawa hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Wivu battalion ya TZ ilikuwa inasema kwamba kitendo cha Kenya kulipiza kisasi kwa kuzuia ndege za UAE kutua Kenya haijazaa matunda. Hio ni uongo kwa sababu UAE wameamua kuondoa marufuku waliyokuwa wamewekea ndege kutoka Kenya. Mimi kutoka mwanzoni nilisema hawa wajinga waarabu wanastahili...
Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekanusha tena “dai la mtego wa madeni” kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika alipokuwa ziarani nchini Kenya hivi majuzi. Alisisitiza kuwa China kamwe haijawahi kuzilazimishi nchi nyingine kufanya shughuli zisizotaka, na dai hilo ni kama “mtego...
Tumezoea sana kungojea mambo yaharibike ndipo tunaanza kushuhurikia matatizo yaliyojitokeza. Hivi karibuni tumeshuhudia operetion kabambe ikiendeshwa nchi nzima ya kuwahamisha wamachinga kwa gharama kubwa kutoka sehemu zisizokuwa rsmi na kuwapeleka sehemu tunazodhani zitakuwa rasmi kwao...
Habari wakuu
Katika kujipima kutumia bioline nimejikuta nimejichoma sindano niliyokuwa nimemchoma mtu mwenye HIV
Sasa nilikuwa mbali kidogo na eneo la kituo cha afya kwahiyo kesho yake ikanibidi niende kituo cha afya mida ya saa nane nikawaelezea wakanipa dawa ya pep imeandikwa LTD m...
Siyo kila mtu anayesema ana mamlaka ya kufanya jambo anayo mamlaka hayo.
Kile kipindi cha phone-in. Watu walikuwa wanapiga kutoa maoni yao kuhusu kile kipindi. TCRA iliwasikiliza watu wale? Wale watu walikuwa na shukrani sana kwa Polepole.
Polepole alikuwa anaongea maneno kama vile ," Mwajibishe...
Upinzani ni kioo cha jamii maana hukosoa na kuwaambia watawala makosa wanayofanya.
Upinzani kufanya mikutano ya kisiasa na kueleza sera na mikakati ya kukamata dola sio sababu ya kuzuia wananchi kufanya kazi zao.
Mbona hata kabla hatujapata uhuru TANU ilikuwa inafanya mikutano ya hadhara na...
Sheria zinazolinda na kuzuia ukatili wa kijinsia mitandaoni ni pamoja na;
• Sheria ya Maudhui ya Mitandaoni (Online Content Regulation) 2020 ambayo inakataza na kutoa adhabu kurusha maudhui ya udhalilishaji ikiwamo picha/video za utupu, lugha za udhalilishaji zinazokwenda kinyume na utamaduni...
Wana JF
Ukisikia mbunge kukosa meno kwa kile kilichoamuliwa na serikali ndio hiki. Tarehe 22 juzi Gwajima Boy alifika kushuhudia nyumba zikivunjwa kwa wale wote waliojenga mabondeni, risasi zililindima kama tupo Kandahar, vilio vilitawala kwa akina mama na baba wakina mabangaloo yakiangishwa...
WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts.
Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu; unaweza kuchagua iwe inaonekana kwa watu wote; au unaweza kuchagua isionekane kwa mtu yoyote.
Mabadiliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.