Ohaaaaaa,
Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini,
Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri.
Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako.
Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...