kwa mara nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania yagundua Gas yenye futi za ujazo bilioni 223 katika Kisima cha Kasa Mkoa Mtwara

    Waziri wa Nishati Dkt. Juma Homera ametangaza rasmi ugunduzi mpya wa Gesi Asilia yenye futi za ujazo bilioni 223 katika Kisima cha Kasa kilichopo Katika Kitalu cha Mnazi Bay Mkoa Mtwara. Dkt. Homera amefanya uzinduzi huo leo Oktoba,27, 2026 na kusema kuwa hilo ni tukio kubwa katika maendeleo ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara nyingine tena Dada wa Taifa Mange Kimambi ametibua mipango ya waharibifu.

    Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  4. JamiiForums Tanzania Draw za Simba msimu ujao zitatunyima ubingwa kwa mara nyingine

    Kivyovyote itakavyo kuwa tatizo kubwa la Simba msimu ujao,ni safu ya ushambuliaji. Kwa jinsi kikosi kilivyo hatutarajii goli za kutosha kwenye michezo ijayo goli 0-2 inatarajiwa kutokea mara nyingi ambapo kiwango hicho kitasababisha tutoke sare nyingi na ndicho kitatukosesha ubingwa Sare...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lucy Shayo (Binti Lissu) amekamatwa na Polisi (kwa mara nyingine)

    Nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa kaka yake Lucy Simon Shayo akinieleza kukamatwa tena kwa Lucy akiwa mkoani Tanga. "Kiongozi kwema Lucy Shayo (binti Lissu) amekamatwa jana na Polisi, muda wa saa tisa na nusu jioni Mkoani Tanga yupo Police central Tanga mjini". Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…