Kwa Mara nyingine tena Dada wa Taifa Mange Kimambi ametibua mipango ya waharibifu.

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini.

Walidhani wakizima sauti yake kwa kufunga accounts zake basi wamemmaliza, la hasha. Dada wa Taifa hukohuko Marekani alipo anaendelea kukinukisha ile mbaya. Kawaburuza Meta mahakamani, na wakati huohuo anaendelea kupambana na wapiga dili ktk siasa hapa bongo.

Wahuni walidhani kwa kuwa wananchi wamewaamini kwa muda mrefu basi wstapata free ride kwa kujaribu kuwauza kwa watesi wao.

Wanaweka mbele tamaa ya fedha na kusahau struggle za wananchi za miaka mingi?. Hivi hawa wanadhani damu xa wananchi october 29 zitapita hivihivi, burebure?.

Hivi hawa wahuni wanadhani wanaweza kuja public na kuzungumza mabadiliko halafu usiku wako busy kwenye vikao na wachawi na kutafuna nyama ya haki na demokrasia halisi ya nchi hii?.

Wabongo wana asili moja, watakupenda ukiwa umenyooka, na watakusamehe hata makosa yako ya kibinadamu. Lakini wakishakunusa kuwa wewe ni msaliti, hawatojali fasaha ya lugha yako, au mbwembwe za maneno yako, kwao vyote hivyo vitaonekana ni vimbwanga na hutakuwa na thamani yoyote mbele ya macho yao.

Mwalimu Nyerere alisema, Heshima na Tamaa havikai pamoja. chagua kimoja!.
 
Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini.

Walidhani wakizima sauti yake kwa kufunga accounts zake basi wamemmaliza, la hasha. Dada wa Taifa hukohuko Marekani alipo anaendelea kukinukisha ile mbaya. Kawaburuza Meta mahakamani, na wakati huohuo anaendelea kupambana na wapiga dili ktk siasa hapa bongo.

Wahuni walidhani lwa kuwa wananchi wamewaamini kwa muda mrefu basi wstapata free ride kwa kujaribu kuwauza kwa watesi wao.

Wanaweka mbele tamaa ya fedha na kusahau struggle za wananchi za miaka mingi?. Hivi hawa wanadhani damu xa wananchi october 29 zitapita hivihivi, burebure?.

Hivi hawa wahuni wanadhani wanaweza kuja public na kuzungumza mabadiliko halafu usiku wako busy kwenye vikao na wachawi na kutafuna nyama ya haki na demokrasia halisi ya nchi hii?.

Wabongo wana asili moja, watakupenda ukiwa umenyooka, na watakusamehe hata makosa yako ya kibinadamu. Lakini wakishakunusa kuwa wewe ni msaliti, hawatojali fasaha ya lugha yako, au mbwembwe za maneno yako, kwao vyote hivyo vitaonekana ni vimbwanga na hutakuwa na thamani yoyote mbele ya macho yao.

Mwalimu Nyerere alisema, Heshima na Tamaa havikai pamoja. chagua kimoja!.
nonsense. 🐒
 
Nyassa Boy anasubiri Zamu yake.
Mwanaharakati Tajiri matako yako.
Oya dogo nyassa boy ndo nani? Mr 2 nn?

Hebu kula chuma hicho chini kabla hujanijibu.

Screenshot_20260913_204628_Chrome.jpg

Grahams
 
Back
Top Bottom