Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare.
Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
Gusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali.
Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
Kama una optn za aina hii kwenye kampuni ya bet weka mzigo
7 odds
Mda si mrefuu wanayanga tu atinga robo final na kufurahia matunda ya kocha wetu
All dbest hizo juu ndio matokeo tarajiwa
Rgds
Pdidytz
Wale wanangu, ambao mnanikubali na kunifuatilia hapa JF nawapenda na kuwakubali sana, kama nyingi mnavyonipenda na kuja PM kunipongeza kwa tabiri zangu hapa JF ambazo kwa asilimia kubwa Huwa zinatiki, sio matokeo TU Bali kwenye angles mbalimbali za mpira na soka letu la hapa tz
Wanangu hii...
Amani kwenu
Salamaleko
Yule mhubiri wa kiislamu kaishia wapi
Mbona simsikii je kwa mkapa alieenda?
Na walihudhulia watu wangapi
Mbona hatupean update
LONDON BOY
Nna uhakika kabisa kama wameweza kusajili wachezaji wa simba waliotemwa nna uhakika hata mbinu zilzokuwa zinatumiwa na Simba ileeeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu imeibwa na hawa jamaa.
Kiukweli wana makafara mazito mazito ambayo hayazuiliki, mbinu zote za Simba wamechukua wao, wanakimbiza kama...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua klabu ya Simba kuhusu ung'olewaji wa viti uliofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jana.
Kupitia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano serikalini...
Mara zote mechi zinazochezwa mida ya saa kumi, watazamaji wa TV kupitia kisimbuzi chenu hukutana na muonekano wa giza katika nusu ya uwanja, jambo linalosababishwa na jua. Cameraman na uongozi wa Azam TV, fanyieni kazi tatizo hili la giza na tafuteni nafasi nzuri ya kuchukua video tofauti na...
Napenda kuandika ujumbe uu wa wazi kwa wanchezaji watakao ingia uwanjani leo dhidi ya DRC congo,
Ni ukweli usiopingika kama kongo hatuwawezi sio kwa mchezaji mmoja mmoja au kwa team play. Ila naandika ujumbe ukaguse mioyo na wakavae damu ya kizalendo zidi ya taifa leo.
Kwenye mpila kuna muda...
Uchawi hautakaa uishe
Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange
Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala
Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban
Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie...
Leo ndiyo siku ambayo wale Waarabu kutoka Libya Al Ahli Tripoli waliotua nchini kupambana na Simba wanatarajiwa kuonyesha kandanda la kibabe kwa kupata ushindi mnono ugenini!
Ushauri kwa Wana Lunyasi wote ni kuwa wavumilivu uwanjani, msing'oe viti wala kutoroka! Tunategemea mtaendelea...
Mpo huku mitandaoni mkisema Simba inacheza kombe la Ndondo, mnasema Simba haikuwa na on target hata moja, mnasema Simba ni mbovu sana, ila mko mstari wa mbele kununua tiketi kwenda kuangalia pira ubaya ubwela.
Kwa nini msiende Zanzibar mkashuhudie timu yenu ikiweka historia ya kuingia makundi...
Mchambuzi mmoja amenifurahisha sanasana amegusa karibia na ukweli
Kama tutafanya mzaaa hii timu ya Libya itatufedhehesha mbele za wake zetu kwa Mkapa.
Haya wanasimba mnaoenda na wake zenu taifa mjipange na aibu.
Kwa mfumo ambao Mungu ameutengeneza huu ulimwengu, you don't chase for the things that you want, you attract them.
How do u attract them?
By positioning yourself accordingly.
All I want in this life of sin is having good time and having good time only.
Popote ninakapo kwenda ninakwenda...
Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu.
Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya chama Chao au hata wakati mwingine wakiwa wamevaa sare za chama Chao.
Hayo yote yakiendelea huku TFF...
Ujio wa kipa mpya kutoka Guinea, Moussa Camara 'Spider' umemfanya winga wa Simba, Willy Onana kung'oka Msimbazi baada ya taarifa kuvuja kuwa yeye ndiye anayempisha kipa huyo aliyetua kuziba nafasi ya Ayoub Lakred aliyeumia kambini Misri.
Taarifa ambazo Mwananchi tangu awali ilishazidokeza...
Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa?
Dr Matola PhD na Bujibuji Simba Nyamaume mpo? Kesho sitaki kabisa mkosekane hapa Jamvini JF kuanzia Usiku sawa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.