Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Hizi ni tetesi zinasambaa kwa kasi mtaani japo hakuna mtu aliyejitokeza kushuhudia na kuthibitisha ukweli wake
Kwamba wahusika hawatokwenda kwa wingi kama desturi yao kwa kukosa Imani na boti yao
Naomba kama yupo mwenzetu ndani ya jukwaa...
Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo.
Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli.
Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu.
Game...
Wakuu wasalaaaamu!
Huko Cairo kwenye makao makuu ya Club Al Ahly kumepamba moto, kocha Marcel Koller ameambiwa kuwa 'Afanye kila linalowezekana ili kumfunga Simba goli zisizopungua 3 mechi ya kesho uwanja wa Benjamin Mkapa'.
Mwanzo tuliona sisi Simba tuna possibility ya kushinda sababu Al...
Naibu Waziri wa Saana, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amedai sababu moja wapo ya kujenga Uwanja wa Michezo unaochukua watu 30,000 mkoani Arusha ni kuwa kwa wastani katika mechi watu hawataujaza uwanja huo ukizingatia kuwa Uwanja wa ‘Kwa Mkapa’ unaochukua watu 60,000 ukiwa katika...
Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo.
Yapi maoni yako?
al ahly
falsafa
freedom of expression
jezi
kuliko
kwamkapa
mgeni
mipaka
mkapa
mpira
mzalendo
ndumbaro
polisi
samia
simba
tanzania
uzalendo
waziri
waziri ndumbaro
yanga
Yaani kama Roho zote za Timu zina Majeraha makubwa na mabaya bado tunategemea kabisa kumfunga Masandawana tatehe 30 hapa Kwa Mkapa Dar es Salaam?
Mwaka jana Simba SC ilipoandamwa na Majeruhi wengi kuna Watu hapa JamiiForums mlifurahi sana hivyo nami GENTAMYCINE leo nafurahi mno kwa Azam FC...
Mashabiki wa Team kubwa kubwa Afrika kama Yanga saiv mnatusimanga kua sisi MAKOLO hatujashinda goli 4 au 5 kwenye uwanja Mkubwa Afrika Mashariki na kati BENJAMIN MKAPA NATIONAL STADIUM..Na Mnaenda mbali sana mnasema kua hata jumamos tunaweza pigwa sisi au tukashinda ka goli kamoja au...
Utani wa aina hii hausaidii timu yako kufanya vizuri.
Huwezi kuifananisha Horoya na CR BELOUIZDAD hata kidogo. Nadhani hakutarajia kuiona CR BELOUIZDAD ikifungwa goli 4-0 na yanga kutinga robo finali siku hiyohiyo kabla ya mechi moja mkononi. Anaweweseka na kufadhaika, hakulala siku ile.
Ahmed...
Timu zote za watani wa jadi zina kamati za ufundi hakuna asiejua, tofauti ni kwamba simba anafanya hata wazi wazi ila Yanga ni kwa siri kimya kimya gizani na mafichoni.
Ni kweli Yanga wanaubonda ila kuna vitu extra vinawabeba.
Uwanja huo umefungwa Mar mbili kwajili ya marekebisha, baada ya...
Wakuu habari,
Hii habari ya Asec Mimosas kuomba kutumia uwanja wa Mkapa kwenye mechi yao ya marudiano dhidi ya Simba kwenye ligi ya mabingwa Afrika ina ukweli wowote?
Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa.
Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia
Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua
Kama CAF wanairuhusu Mamelodi...
Mechi 2, Alama 1, Goli za Kufungwa mpaka sasa ni 4 na uko wa Mwisho katika Kundi halafu bado kabisa mlivyo watupu Vichwani mnatamba mtatoboa hadi Robo Fainali ya CAFCL.
Ukisahau kuwa hata Weekend ijayo tu Watoto wa Hayati Kwame Nkurumah wanaenda Kukupasua Kwao bila ya Huruma na ubakie na hako...
Mwekezaji Ni Dewji na Viongozi wako / wenzako akina Salim Abdallah Mhene 'Try Again", Murtaza Mangungu na CEO Imani Kajula upesi sana kaeni Kitako na Wachezaji wa Simba SC myamalize kwani Upuuzi huu wa Kinatokea ukiendelea mtakuja Kupigwa / Kuchapika vibaya na Mashabiki na hiyo Timu itatekwa...
Ni wazi kwambasimba inajibusti kwa nguvu za ndumba wakiwa uwanjani na mara kadhaa hufanya wazi wazi hata kama ni nje ya nchi.
Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba inakuwa ngumu ndumba zingine kufanya kazi kama zile za wachezaji kuvaa viunoni, wachezaji kutumwa...
Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.
Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.
Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba...
Niseme ya kwamba Yanga ina bahati na kupangiwa timu kubwa ambazo huwa zinapatwa na matatizo, walianza na Tp Mazembe na msimu huu ni Al Ahly
Al Ahlu ya sasa ni timu nzuri ila kuna matatizo ndani ya timu, Kumekuwa na habari kwamba kuna migongano kwa upande wa strikers, Yani hats nafasi...
Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa (na wanaojua Fitna za Soka la Bongo) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo?
Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.