Leo ndio leo. Hatimae ile siku iliyo subiriwa miezi kadhaa imetimia ni masaa wachache tu tukashuhudie mnyama simba akiandika historia nyingine. Simba anakuwepo katika kundi la timu chache zilizopata kuanza kwenye AFRICAN FOOTBALL LEAGUE. na kwa ukubwa zaidi pira linatandikwa hapo kwa mkapa yaani...
Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya.
Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua Kuialika Ihefu FC peke yake na kutozialika Timu zingine Tatu ambazo zina Urafiki wa Kinafiki wa...
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger ni moja ya wageni watakaokuja Tanzania katika ufunguzi wa Mashindano ya African Football League Oktoba 20.
Wenger ambaye ni moja ya watu wa ufundi wa FIFA atakuwa sehemu ya watu watakaolitazama pambano la mechi ya Simba SC na Al Ahly ya Misri katika...
Leo mchana nimeota ndoto mbaya inahusu kolowizadi kupigwa mkono na Al ahly October 5, kwa mkapa na kule Masri nikasikia watu kama waarabu wanaimba sabah sabah sabah. Wala Sijui walimaanisha nini
Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers.
Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la...
Asikudanganye Mtu hapa Barani Afrika hakuna Watu wanaojua Kushangilia Viwanjani na Kufanya Fujo na Vitimbi vya kila aina ili Kummaliza kabisa Mpinzani Kama Mwarabu na hasa hasa Waarabu wa Misri na Algeria.
Kama juzi tu kwa Mkapa walikuwepo Waarabu Kumi ( 10 ) tu ila Shughuli yao Kiushangiliaji...
Mmoja ni Mshambuliaji, Mmoja ni Kiungo na mwingine ni Winga wa Kushoto.
Baada ya GENTAMYCINE kuipata hii Taarifa naanza kuona Timu Moja ikifungwa hata Goli 7
Ni Mwendo wa Kuwakera tu JF.
Ameandika Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter:
"Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea...
Habarini wanajukwaa hili!
Naomba nitoe mawazo yangu kuelekea Fainali ya Jumapili ambayo Yanga anacheza na USM Alger watu wengi ambao hawajui mi nawaita hawajui Mpira hadi wachambuzi wa soka hapa bongo ukiwasikiliza wanakuambia Yanga anatakiwa kushinda goli Nyingi kwa Mkapa!!! This is Crazy...
Bila kujari Yanga itaanzia wapi lakini natowa wito kwa matawi yote ya Yanga nchi nzima na kwa uongozi wa Yanga huu ndio muda sahihi wa kupanga mkakati kabambe kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa.
Sasa ni wazi Yanga ifunguwe Amari zote za silaha kama tunaanzia fainali kwa Mkapa basi...
"Nimewaambia Wachezaji wangu kuwa Mechi hii ya leo ni ngumu Kwetu kwakuwa tunacheza na Timu ngumu na yenye Wachezaji mahiri hivyo tuache kufanya Makosa yasiyo ya lazima na tutumie nafasi zetu mapema kabla hawajatuadhibu" Kocha Mkuu wa Yanga SC Nabi.
Na GENTAMYCINE sijawahi kuona Kocha Nabi...
Nimeona baada ya mechi kuisha mashabiki wa simba wakijifagilia kumfunga whydad kwa mkapa kana kwamba wao ndio timu ya kwanza kumfunga, Ni kawaida ya watanzania kusifia vitu vidogo vidogo pindi wanapokosa hoja ama wanapoona mambo ni magumu kiuhalisia, Kujifariji sio vibaya na kujipa moyo pia...
Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe.
Umafia waliofanyiwa Wanaoujua Mpira ( ambao baadhi yake MINOCYCLINE nimeushuhudia hii Leo ) Klabu ya Wydad Casablanca FC ambao...
Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika mechi ya marudiano.
Una maoni gani? Comments ziwe fupifupi
Kinara wa mabao kwenve kikosi cha Yanga na Ligi Kuu Tanzania Bara, Fiston Mayele mwenye mabao 16 hadi sasa, ameifikia rekodi yake ya msimu uliopita na sasa anasaka kuivunja.
Baada ya kukosa tuzo ya ufungaji boramsimu uliopita iliyokwenda kwa George Mpole (Geita) kutamba
na kumaliza msimu aki wa...
Ni wazi kabisa kuwa Taifa Stars haivutii wengi, hivyo ni mkakati wa kulazimisha uwanja ujae.
Ndiyo maana unaona tiketi zinagawiwa bure bure tu nadhani had saivi zimefika 30,000 hivi za bure+15000 za kununua ni Kama 45,000 hivyo uwanja hutajaa kwenye mechi dhidi ya Uganda.
Hapo TFF na Serikali...
MARA ya mwisho Yanga kutinga robo fainali michuano inayoandaliwa na CAF, Clement Mzize alikuwa hajazaliwa. Kelvin John alikuwa hajazaliwa. Ilikuwa mwaka 1998. Yanga walistahili furaha waliyoipata juzi. Ndiyo, walistahili. Safari wamekwenda robo fainali yenye heshima zaidi.
Mwaka ule wakati kina...
GENTAMYCINE nitafurahi mno nikiwaona wana Simba SC Wenzangu wa hapa JamiiForums.
Nitakuwa nimekaa na Wachezaji Wastaafu ( wa zamani ) wa Simba SC ambao Fainali ya 1993 Uhuru Stadium mbele ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi tuliyosalitiwa na Azim Dewji walikuwepo na Mmoja wao ana Mwanya na alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.