Naendelea kuwakumbusha wapambanaji kwenye uwanja wa biashara. Usifunge biashara.
Ukiona hali ni tete tuwasiliane kwanza kwenye email:
[email protected]
Pia, wale wenye ujuzi uliotukuka kuhusu masuala ya biashara bado tunaendelea kujenga Team zetu ili tuendelee kucheza kwa ufanisi...