The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.
Moja ya changamoto kubwa sana tuliyokuwa nayo Tanzania, ni kuona kila kitu tulichokuwa nacho hakifai.
Wakati nchini Tanzania hadi tume ya kupitia mfumo wa Haki Jinai ikiwa imeundwa na tayari ipo kazini, raia wa Afrika Kusini wameonyeshwa kuvutiwa sana na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi la...
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.
Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza...
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
Raia wakigeni kutoka nchini Ethiopia waliomaliza vifungo vyao katika gereza la mkono wa Mara mkoani Morogoro wamekwama kurejea makwao baada ya kukosa msaada wa kusafirishwa.
Mkuu wa gereza la Mkono wa Mara mkoani Morogoro, TADEO MGALLA amesema raia hao ambao walimaliza vifungo vyao tangu mwaka...
Kohh koooh...
Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ukipenda unaweza kumuita Robertinho alikuwa mshambuliaji nguli aliyechezea vilabu vikubwa nchini brazil, mwisho mwa miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80. Kocha huyu anayewaonoa wekundu wa msimbazi kwa sasa, aliwahi kukipiga katika vilabu...
Kwa haraka haraka huwa nasikia hizi timu mbili ndio kama Real Madrid na Barcelona za huko Morocco,
Kwa wale mnaofuatilia soka na kubahatika kuweza kujua ubora wa hizi timu tunaombeni mtumegee uzoefu wenu.
Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu mtuelewe jamani.
Kati ya mechi 23 alizocheza kwenye ligi kashinda mechi 3tu. Na bado mechi 7.
Wakati...
Askofu Mkuu jimbo Catholic Lenatus Nkwande ameongoza misa leo uwanja wa Kawe Kamo umefurika watu wakiwa wamekusanyika kumkumbuka Magufuli kwa kweli Magufuli anapendwa.
Baba askofu amewausia kuendelea kumuombea Magufuli na kuwaombea haters wake wakiwemo walamba asali na wazuri hawafi.
Pia...
TP Mazembe imeendelea kufanya vibaya katika Kombe la Shirikisho Afrika, ikiwa nyumbani imefungwa magoli 2-0 dhidi ya US Monastir ya Tunisia.
Mechi inayofuata ya Kundi D ni Real Bamako ya Mali dhidi ya Yanga.
Tena kama kuna Mchezaji aliye block Mipira mingi ya Viungo wa Horoya FC huku akiwasumbua na Kuziba Mashimo vyema na akitoa Pasi za uhakika, akijiamini na kupiga Chenga zilizoenda Shule ni Kiungo Mbukinabe Ishmael Sawadogo.
Kinachomgharimu kwa sasa japo taratibu kinaanza Kuondoka ni Uzito...
1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali.
2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya...
Ama hakika imevutiwa na kudata na mtoto wa msukuma nyantuzu huku simiyu kwakweli ananinyima usingizi na wala siwezi kulala nikimuwazia yeye all time yaani weupe wake kwakweli unanikosha na kuniua haswa yaani sio poa kabisa ndugu zangu
Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi kwenye shirika moja la...
Nami GENTAMYCINE naomba nichukue fursa hii kuwatakia 'Hepibasidei' wale wote wanaosheherekea leo hata na yule aliyekuwa jana na aliyeko leo huko Dakar nchini Senegal.
Ukiwa katika nchi yoyote ile duniani na ukakuta ama 99% ya Media zake au Media zote zinajikomba kwa mamlaka (Serikali) jua hilo...
Okrah ndiyo kwa 99% alisababisha Mzungu Wetu Dejan asiwe na Furaha ndani ya Simba SC mpaka Kukereka na kufikia Kuchukua yale Maamuzi aliyoyachukua ya Kuondoka.
Okrah huyu huyu ndiyo alikuwa akimtukana Mzungu wa Watu Dejan na Kubwa zaidi akiwashawishi Wachezaji wenzake Waswahili wamtenge...
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.
Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.
Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.
Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.
Tukaenda...
Habari!
Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka.
Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani tu, wakizidi zaidi basi wataiga kazi za wenzao. Hawana ladha kabisa.
Soko lao linaishia ndani tu...
To every action there is an equal and opposite reaction. Hii kanuni inaonekana kuelezea vizuri mahusiano katika ya wafuasi wa CCM na wa CHADEMA juu ya jinsi wanavyohusiana na viongozi wao. Wale wa CHADEMA wanawaita wenzao wa CCM chawa na sasa wa CCM wamewaita wenzao kupe.
Ulinganisho huu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.