The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.
Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka.
===========
Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine
The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which...
Na Waganga wenye Akili huwa hawachezi na bahati ya Siku bali hucheza sana na bahati ya tarehe na bahati nzuri tarehe 30 huwa inaipendelea Timu isiyo Mwenyeji Kuiumiza Timu inayoiamini na kuipenda Siku ya Jumamosi.
TATIZO LIPO KWETU SI KWAO
Madhara na unyonge unaotukumba Waafrika, sababu kuu ni sisi wenyewe. Ni kweli wazungu wanaendelea kutubana kwa kutumia mbinu tofauti lakini uhusika wetu katika kufika hapa tulipo bado unabaki kwetu.
Huwa najiuliza na kukosa jibu nikiangalia mifano michache ifuatayo...
1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone
2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari
Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi
Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo.
Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa goli moja tu kwa jinsi walivyokuwa wamezidiwa! Hiyo penati ilikuwa ya wazi Sana, BM alipigwa ngwala...
Benard Mkolwe wa kata ya Madilu Mkoani Njombe amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa akiwa na Sarah Mgohole (18) nyumbani kwao ambako alimfuata kwa lengo la kufanya mapenzi ikiwa ni siku yao ya kwanza tangu waanze uhusiano wiki 2 zilizopita.
Chanzo Millard Ayo
Wakazi wa kijiji cha Mazwe, wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba viongozi wa Minara ya simu ya Tigo na Airtel walioweka minara yao kijijini hapo tangu 2013 malipo ya minara hiyo iwanufaishe wanakijiji wa kijiji hicho kwa kujenga zahanati kutokana na kuwa malipo hayo hayafiki katika ofisi...
Kama mwanamke ukiskia boyfriend wako sifa ya kwanza anayoitoa kwa washkaji wenzake kwamba kwenu pesa zipo unajiskiaje? Maana ndiyo trend kwa sasa au kuhudumia kumehamia kwa wanawake! Mkienda date ya kwanza unamwonyesha ni jinsi gani kwenu pesa ipo!
Miaka ya nyuma kidogo ukiwasimulia rafiki zako...
Habari zenu wanajf..kuna mambo yananitatiza kidogo.
Kuna Binti niko nae kwenye Mahusiano takribani mwezi mmoja na nusu hivi..kiukweli nampenda sana,,,sina hata mpango wa kumsaliti. Huyu binti anaishi mbali kidogo na wazazi wake ana group la Mabinti wengine anaoishi nao....wanapanga kwa kushare...
Amang'ana, habari ja muhi, msinda vihi wana JF!
Nimtazamo wangu ya kwamba Sirro amefika mwisho wa cheo chake, hata mwezi june hafiki, anaebisha tukutane june mosi.
Maisha ni haya haya lichuguu limekwaa tobo
Vumilieni tu kama ambavyo nasi pia mara kwa mara Mwenzenu Waziri wa Fedha Dk. Nchemba akiwa anatuchamba mpaka Kutudhihaki huwa tunavumilia na wala hatumfanyi kuwa ni Adui yetu kwani tunajua kuwa huo ni Utani wetu akina Kulwa na Doto wa Kariakoo Mmoja akiwa Mafurikoni na mwingine akiwa Sokoni kwa...
Vijana waliokuwa wanaishi katika mazingira magumu ambao baadhi yao walikuwa na mzigo mkubwa wa kutunza familia zao na hata mabinti kukimbia vijiji kwenda kufanya kazi za ndani, hivi sasa maisha yao yamekuwa tofauti baada ya kufikishiwa elimu ya ujasiliamali na elimu ya Saikolojia.
Elimu hiyo...
Wanafunzi 23 wamefanikiwa kurejeshwa #Namibia kutoka #Ukraine. Wizara ya Elimu imewataka wanafunzi hao kujiunga na vyuo vya nchini kwao ili kuendelea na masomo.
CNN imeripoti wanafunzi takribani 13,000 wa Ghana, Somalia na Nigeria ambao wamekwama mjini Sumy na hawana chakula wala fedha kwa kuwa...
Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua baadaye? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali.
Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia?
Tena yeye na...
1. Mtimueni upesi Kocha Mkuu Franco, Msaidizi wake Matola na Meneja Rweymamu.
2. Mpeni Kazi kwa Kipindi hiki Kocha Ndayiragije kisha asaidiwe na ama Pawasa au Mgosi kisha Meneja awe ni Nico Nyagawa.
3. Wachezaji watafutiwe haraka Mwanasaikolojia na nampendekeza awe ni mwana Simba SC Chris...
Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu).
Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa.
Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache...
Tanzania wafanyabiashara wakubwa wanaosifika wengi ni Wachaga, Wapemba na Wakinga lakini hawawekezi sana vitega uchumi na biashara kubwa kwao wanawekeza tu mikoa mingine sababu ni nini?
Kuna taarifa zakupotea vijana watano zinasambaa mitandaoni Lakini hakuna kiuongozi wa serikali aliyetia Beno, wote wapo kimya kama vile waliopotea siyo watu. Viongozi wa dini nao wapo kimya utadhani Hawa siyo waumini wao.
Ni lini mliopewa dhamana mtachukulia haya mambo kwa uzito wake? Six years...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.