kwao

The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia sio mzalendo kwao!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi pasipo kuwachosha. Rais Dr Samia atajaribu kumuiga Magufuli lakini kamwe hataweza asilani hadi anaondoka madarakani. Wakati Dr Magufuli akiwa Rais aliusaidia sana mkoa wake wa Chato kimaendeleo na kiuchumi. Hili halihitaji utafiti kwani liko wazi...
  2. Brazil Kwao Olivieira wanaujua Mpira ila Argentina Kwao Gamondi wanauelewa na wanaucheza hasa Mpira

    Mpira wa Kibrazili unakupa Matokeo japo kwa kila mara Kumuomba Mungu, ila baada ya Mechi unalazimika kutafuta Panadol Extra na Dawa za Kushusha Presha ili Unywe. Mpira wa Argentina tangu unaanza tu unakupa Raha Kuutizama, husikii Njaa, huhisi Pepo wa Ukichaa Kukupanda, Maji na Juice vinashuka...
  3. Kinana: Tusipendeleane, tusibebane

    Ule usemi wa "nyani haoni kundule" umedhihirika pale Katibu Mkuu wa CCM, Abdallahaman Kinana alipowachana wanachama wa CCM katika mkutano alioufanya hapo jana mjini Kigoma kwa kuwaambia wanachama wa chama hicho waache kupendeleana wala kubebana kwani kwa kufanya hivyo tutazalisha makundi mengi...
  4. Hawa viumbe ni ngumu sana kwao kusema hivi

    Video inajieleza
  5. Kuna wanawake wazuri ila wana akili finyu hawajui style gani ya nywele au nguo zenye vybes nzuri kwao

    Wasalaam JF, Kumekuwa na kautamaduni ka wanawake kuiga Kila kitu bila kufanya tathmini oanifu ya mfano msuko wa nywele na bichwa au uso wa mhusika, mavazi pia, makeups pia, miwani, miguu na etc. Wengine hugeuka vituko Kisha wanategemea tuwasifie kinafiki Mimi huo upuuzi wa unafiki siuwezi...
  6. Anapata wapi Nguvu ya kuandaa 'Wiki ya Iliyomshinda Nchi" kwao Paje Kizimkazi, wakati TEC wamempiga na Kitu Kizito Jana?

    Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
  7. Baada ya Kumsajili kwa Kumkopa na Kushindwa Kummalizia Pesa zake 'Dusku' Kaamua kurejea Kwao Bondeni

    Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao. Nimezoea kuona Wachezaji wengi Wakiondoka JNIA pale Terminal III Wakiwa ni Watu wenye Furaha na...
  8. Tafuta hela uheshimishe familia yako

    Anaandika, Robert Heriel Moja ya mambo yaliyonifanya nisome wakati ni mdogo, na sasa nahangaika kutafuta pesa ni suala la matukio ya misiba. Kwa kweli Taikon niliapa na katika hilo Mungu anajua, na atalisimamia yakuwa mke na watoto wangu kamwe hawataosheshwa masufuria na kutumwa tumwa bila...
  9. Endeleeni tu kutuficha ya 'Ki-Beat', ila tutaendelea Kuwatembelea Mahospitalini Kwao kuwapa Pole na 'Majeraha' yao makubwa

    Mwamba aliyeondoka aliwapa Kazi ya Kusaficha Wazee wa Morogoro na hao Wapumbavu na Wahuni walidhibitiwa vilivyo na Wengine hadi Kukimbilia nchi Jirani. Cha Kushangaza aliyeko sasa anatanguliza Huruma na Imani yake ya Kidini kwa Kuogopa kuruhusu tena Wazee wa Morogoro warejee ili Safari hii siyo...
  10. Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita. Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa...
  11. Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa

    Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli? Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi...
  12. Vunjabei alikuwa na nafuu ila huyu Sandaland ni hovyo

    Jezi zimekosa ubunifu, ningekuwa na mamlaka ningemuweka ndani huyu Sandaland. Bure kabisaaaa
  13. A

    Tetesi: Robertinho ajiondoa simba, arudi kwao Brazil kisa na mkasa ni viongozi kutompa: thank you Chama

    Kocha aliwaambia viongozi wa simba hataki kumuona CCC msimu ujao, viongozi nao wakamwambia Chama haendi popote, kama vipi bora wampe thank you yeye Kocha. Kocha kaona isiwe tabu, jana kaamua kurudi kwao Brazil. Gadiola mnene muda si muda anachukua tena timu
  14. Povu la Maaskofu kuhusu mkataba wa bandari ni kuondolewa kwa uchochoro wa kupiga pesa

    Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa. Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele...
  15. D

    Waafrica mara nyingi ndo wanaosababisha viongozi wao kuwa madictator bila kupenda kwao.

    Hiki kinachoendelea hapa kwetu Tanzania siyo ukosoaji Bali matusi tena ya nguoni. Hakuna demokrasia ya hivi hata ulaya au marekani haipo. Kinachofangika Tanzania kwa Sasa ni kumlazimisha Samia kuwa dictator kama jpm tu. Ndo mana kumbe jpm alichagua kuwa dictator na kuwapoteza au kuwaua watu...
  16. Kama Akpan wa Coastal alitua simba, George Mpole kutotakiwa na Vilabu vikubwa nchini kweli Ni vigumu nabii kukubalika kwao

    Licha ya kuwa mfungaji Bora Tena kutokea timu ya kawaida kwenye ligi ngumu namba 5 Africa. George Mpole hakuonekana kuwa Lulu Tanzania. Sio Azam, Yanga Wala Simba zilizoonesha Nia ya kumfukuzia. Licha ya kupata namba Taifa stars na kutulia mabao muhimu. Sijaelewa tatizo lipo wapi? Leo mfungaji...
  17. J

    Hii ndio sababu nchi makini kama China au Urusi haiwezi kukaribisha watu weusi kiholela nchini kwao

    Kinachoendelea Ufaransa, kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye influence ya wazungu kama South Afrika ni ishara kuwa mtu mweusi ukimchanganya na mtu mweupe lazima...
  18. Hivi Sisi Wakristo na Waislamu nao huko Misikitini Kwao wangekuwa Wanakesha na Makelele kama Makanisani Kwetu tungewavumilia?

    GENTAMYCINE ( alias East African Brain ) ni Mkristo tena wa Dhehebu la Katoliki ila leo hii ( Usiku huu ) bila ya Unafiki nasema wazi kuwa Ndugu zetu Waislamu ni Watu Waungwana, Wastaarabu na Wavumilivu sana, ila Wakristo ni Wanafiki na Wabinafsi mno. Nina uhakika wa 100% kuwa Waislamu nao...
  19. Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

    Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
  20. R

    Ogopa kukataliwa na watu; Nassari amepoteza mvuto na hoja sidhani kama huko kwao watampa hata uongozi wa kijiji akiomba kura

    Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania. Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM kuna utofauti mkubwa sana. Alipopewa na CCM hadi wakamnunua ila ameshindwa kabisa kukubaliana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…