Habari wana jamvi,..baada ya kutoa ya moyoni kuhusu Yule binti wa kazi ambae nilikuja kuthibitisha kuwa Ni miathirika wa ugonjwa huu unaosumbua dunia...nimesoma comments zenu ambazo zilikuwa na maoni mengi
Ambayo yamenisaidia Sana katika kufanya maamuzi ,..binti nimemrudisha kwao japo hakujua...