Mamilioni ya mafaili kuhusiana na kifo cha aliyekuwa raisi wa nchi hiyo,John F. Kennedy sasa rasmi yameachiwa kwa walimwengu waweze kupekua wapendavyo kupata jawabu ya kifo hicho.
Yapo matumaini kuwa kabla ya muhula wa uraisi Donald Trump yale mafaili ya siri juu ya safari ya mwezini nayo...
Anachokifanya mchina sasa, USA amekifanya miaka 50 iliyopita. Juzi wanashangilia chombo Chao kutua kwenye ardhi ya mwezi, USA alishafanya hayo miaka ya 60s.
Mwakani au 2026 anataka kupeleka Binadamu tena upande wa pili wa mwezi. (Dark side of the moon)
Tayari maandalizi yameanza.
Mwenziyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.