Trump sasa kuachia mafaili ya safari ya kwenda mwezini

Trump sasa kuachia mafaili ya safari ya kwenda mwezini

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Mamilioni ya mafaili kuhusiana na kifo cha aliyekuwa raisi wa nchi hiyo,John F. Kennedy sasa rasmi yameachiwa kwa walimwengu waweze kupekua wapendavyo kupata jawabu ya kifo hicho.

Yapo matumaini kuwa kabla ya muhula wa uraisi Donald Trump yale mafaili ya siri juu ya safari ya mwezini nayo yatakuwa yameachiwa huru baada ya kufungiwa kwa zaidi ya miaka 56.

Safari hiyo ya maajabu ambayo Marekani inasema iliifanya mwaka 1969 imekuwa ikilindwa kisiasa na kupingwa vikali na wataalamu wa sayansi.
1742560038720.png
 
Us haikutaka mambo yawe meengi kama Mchanga,,,,,,walinunuliwa wahandisi wa Urusi moja baada ya mwingine.
 
Swahiba wake anasema kutakuwa na watu millioni kadhaa huko Mars sijui mwaka gani vile kasema.
Hawa wanapangana wenyewe kwa wenyewe
Dunia imefika mwake
Vurugu tu
 
Hayo mafaili ya nn tena? Wakati tunajua safari ya mwezini ni stori za vijiweni tu👿
 
Umuhimu wake itakuwa rasimi kwamba haikuwepo na tutaifuta kwenye vitabu vya shule zetu,
Kabisa itaonekana zilikuwa stori za kwenye vitabu vya kiswahili shule za msingi hasa darasa la tano
 
Wakienda huko mwezini huwa wanakula nini na wanajisaidia wapi?
 
Back
Top Bottom