Hii Gen Z ina mambo mengi sana, ni kawaida kukuta mtoto wa kiume ameoa na bado anaishi kwa wazazi, yani alipo olewa mama yake na yeye analeta demu wake, huku ni kuvunjia heshima wazazi, kama unajijua ni kijana unayesumbuliwa na genye za kipumbavu basi nenda ukapange na sio kumaliza pwiru wako...