The Ibanda-Kyerwa National Park, previously Ibanda Game Reserve, (Hifahdi ya Taifa ya Ibanda-Kyerwa, in Swahili) is a national park in Tanzania, with the IUCN category II located within Kyerwa District of the Kagera Region of Tanzania.
Watumishi wa Halmashauri ya Kyerwa tunapenda kutoa shukrani kwa uongozi kwa kuhakikisha kuwa posho zetu za kujikimu zimelipwa.
Hatua hii imetupa faraja kubwa na kutusaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizokuwa zikitukabili. Tunathamini juhudi za uongozi katika kusikiliza na...
Katika Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hususan katika kata zinazopakana na nchi jirani ya Uganda, yaani kata za Mrongo na Bugomora, wananchi ni wazalishaji wakubwa wa zao la kahawa aina ya Robusta kwa wingi.
Lakini kumekuwa na unyanyasaji mkubwa ambapo mamlaka husika wilayani humo zimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.