RESOLVED Watumishi Halmashauri ya Kyerwa tunashukuru, tumelipwa posho za kujikimu

RESOLVED Watumishi Halmashauri ya Kyerwa tunashukuru, tumelipwa posho za kujikimu

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Watumishi wa Halmashauri ya Kyerwa tunapenda kutoa shukrani kwa uongozi kwa kuhakikisha kuwa posho zetu za kujikimu zimelipwa.

Hatua hii imetupa faraja kubwa na kutusaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizokuwa zikitukabili. Tunathamini juhudi za uongozi katika kusikiliza na kushughulikia mahitaji ya watumishi.

Tunaendelea kuomba ushirikiano na uwazi katika kuhakikisha masuala mengine ya watumishi yanapatiwa ufumbuzi kwa wakati.
 
Back
Top Bottom