laini

  1. Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation' mkoani Pwani hadi Dodoma ikigharimu Sh Bilioni 510. Akizungumzia kandarasi hiyo Aprili 17, 2024 akiwa...
  2. Msaada: Laini yangu ya Halotel imepata matatizo ya kiintaneti

    Nimesajili laini ya Halotel mpya, hii ni baada ya kupoteza laini niliyokuwa nikitumia ambayo haikuwa na matatizo yoyote, ni vile tu nilisajiliwa na mtu ambaye niko mbali naye kwa sasa (Ex) Laini hii niliyosajili leo haina ufanisi kabisa kwenye suala zima la kimtandao. Yaani ipo very slow...
  3. Je, ni haki kwa mteja wa Vodacom kukataliwa kufutiwa Usajili wa laini kwasababu ya kuwa na namba moja tu?

    Kampuni ya Vodacom inakatalia wateja wake kufuta usajili wa laini zao kwasababu wanakuwa na laini moja tu. Vodacom wanadai kwamba hawawezi kufuta usajili wa laini moja tu labda ziwe zaidi ya moja. Kwanini wanafanya hivi kwasababu kitendo hiki ni sawa na kumlazimisha mteja atumie mtandao wenu?
  4. TCRA yazifungia Laini 21,000 zilizohusika kufanya utapeli

    ZAIDI ya laini 21,788 za mawasiliano ya simu zimefungiwa kupokea na kutoa mawasiliano kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kutumika kufanya uhalifu mtandaoni kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita. Kwa mujibu wa ripoti ya mwenendo wa sekta ya mawasiliano iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa...
  5. Godbless Lema: Makonda tulia wewe ni mtoto laini sana kuliko hata maini

    Aliyekuwa Mbunge Wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema Amemtoa kauli hiyo kwa Katibu mkuu wa itikadi na Uenezi CCM taifa Mh Paulo Makonda huko Jamhuri ya watu wa X.. Baada ya kudai kwamba ataenda bungeni kuomba na kuuliza kuhusu aina ya uenezi wanayotka awe nayo.. Lema Ameendelea kusema kuwa...
  6. Rukwa kinara kwa majaribio ya Utapeli kupitia simu. Dar inaoongoza kwa usajili wa laini yawa ya 3

    Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano Tanzania iliyotolewa na TCRA mwezi Septemba, imeonesha Mkoa wa Rukwa umekuwa Kinara wa Majaribio ya Utapeli kupitia simu ikiwa na Majaribio 8,450 kwa kipindi cha Julai hadi Septemba Hata hivyo kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Rukwa inashika nafasi ya 25 kwenye orodha...
  7. Msaada, laini ya tigo haisomi data

    Habari ndugu, ninaomba msaada wa jambo hili,nime-renew namba yangu ya zantel ktk laini ya tigo kama invyofahamika makampuni haya ni mamoja ,tatizo linakuja kwenye data ni kwamba haisomi kabisa nimejaribu data setting za tigo na hata zantel hazionyeshi mtandao kama ni 2g,h+ au 4g ,naomba msaada...
  8. Baadhi ya mitandao ya simu nchini wana vifurushi kausha damu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kwanza ningependa ujue mitandao yote ya simu Tanzania ina vifurushi vinavyofanana na kingine kila mtandao na spidi yake. Sasa kumezuka baadhi ya mitandao ya Haloteli, Airtel, Tigo kuwa na vufurushi vya data ambavyo ni data kausha damu, yaani ukinunua...
  9. Nadhani airtel waache kutumie neno 4G kwenye laini zao 4G ya airtel sawa na 3G ya halotel

    Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
  10. Vodacom yaendelea kuwa kinara idadi kubwa ya laini zilizosajiliwa, Airtel na Tigo mpambano wa kimya kimya!

    TCRA imetoa takwimu mpaka mwezi Juni 2023 ambapo jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zimefikia 64,088,651 huku mtandao wa Vodacom ukiwa kinara. ORODHA 1. Vodacom - 19,116,166 2. Airtel - 17,505,139 3. Tigo - 17,484,387 4. Halotel - 8,410,029 5. TTCL - 1,559,090 6. Smile - 13,840
  11. Hivi kuna usalama kiasi gani kununua laini za uwakala mkononi mwa mtu?

    Kwa wenye uzoefu, Hivi kuna usalama kiasi gani kununua laini za uwakala kwa mkononi mwa mtu?
  12. Habari Picha: Dkt. Bashiru akisalimiana na Waziri Mkuu Majaliwa wakiwa na bashasha laini Bungeni, Dodoma

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Dkt Bashiru Ally Kakurwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, leo Jumatano Juni 21, 2023.
  13. K

    Nani anayeihujumu TTCL? Kuna tatizo la kuadimika kwa laini, zinauzwa mpaka 7000

    Nani anayeihujumu TTCL kwa kiwango hiki? Kuna mmbo fulani yanaendelea kwenye TTCL kiasi kwamba tunaona kama ni hujuma kwa TTCL: Kwanza, kipindi kirefu sasa ukitafuta laini za TTCL kwa mawakala wanakuambia hamna. Ni kweli shirika likose laini ambazo kimsingi ndio mteja na ndio zitachochea...
  14. S

    Kwa kauli hizi nashawishika kuamini kuwa sijamuelewa Rais Samia kama ni Dikteta ama Mwanademokrasia

    Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia. Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano. Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
  15. Unatumia utaalamu gani kufanya chapati zako za kusukuma ziwe laini?

    Habari Wakuu, Chapati za kusukuma ni pishi ambalo limekuwa changamoto kwa watu wengi, mtu anajitahidi alkini mwisho wa siku anatoa chapati ngumu na imesimama kama sinia😂🤣. Mbinu ninayotumia mimi kufanya chapati iwe ni laini, ni kukanda unga na kuhakikisha umekuwa laini kabisa. Tumia hata...
  16. Je, Wajua kumiliki laini ya simu zaidi ya moja ni kosa na adhabu ni kifungo zaidi ya mwaka mmoja jela?

    Huwa nawaambia kila siku kuwa jambo mpaka likukute ndo utajua kuwa lipo. Na nyote si mnajua kuwa kutokujua sheria sio kinga/hoja/udhuru. Hautafikishwa Mahakamani ukasema nilikuwa sijui, halipo hilo. Kanuni ya 37 ya GN. No.60/2023 Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta Kuhusu Usajili wa...
  17. Wanaume wa Dar mnapenda kunywa pombe laini.

    Kuna bar hapa mbezi nimekuja na jamaa angu,kila mwanaume ninaemuona kashikilia savanna,Flying fish au Serengeti light. Acheni kunywa pombe za wadada bana
  18. Polisi yatoa tahadhari, baadhi ya mawakala wanaosajili laini mtaani ni matapeli

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime Akitoa darasa kwa Maafisa Polisi Jamii na Polisi Kata kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam pamoja na wengine kutoka Kibaha na Mkuranga, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, SACP David Misime amezungumzia utapeli wa mitandao unaofanyika...
  19. Mnaotumia simu ya laini moja na kutembea na ya ziada kwa laini ya pili huwa hamuoni unafuu kutumia simu zenye laini 2?

    Kibongo bongo hapa wengi wetu huwa tuna laini mbili, hivyo kuwa na simu yenye laini 2 hupunguza mzigo wa kubeba simu ya ziada. Binafsi kigezo cha kwanza kabisa kwenye kununua simu yangu huwa inabdi ijitosheleze kwenye suala la kuwa na laini mbili. Simu zenye laini mbili si kama wengi...
  20. Unazungumziaje hali ya Utapeli unaofanyika kwa njia ya Simu baada ya kuzimwa kwa laini zisizohakikiwa?

    Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA ya robo ya nne ya mwaka, hadi Desemba 2022 mitandao ya simu nchini ilikuwa imesajili jumla ya laini milioni 60.277. Laini hizo ni sawa na ongezeko la asilimia 4 ikilinganishwa na zile milioni 58.1 waliokuwapo mwisho war obo ya tatu ya mwaka 2022 yaani Septemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…